Home
Unlabelled
exim bank comoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI MBONA UNAKUWA HUNA HABARI HIVYO? EMIM BANK NI MULTINATIONAL NA ASILI YAKE NI INDIA SIYO TANZANIA KAMA UNAVYOSEMA.
ReplyDeleteMZOZAJI.
Swali,
ReplyDeleteExim bank inaexit mikoa mingapi ndani ya Tanzania?
Sielewi, wanawezaje kuexpand externally na kuacha kuwapa watu locally chance ya kupata bank services?
Tuna ujamaa gani?
Export Import{exim} Bank iko kwenye nchi nyingi.
ReplyDeleteNa sio ya Tanzania
Do !!!
ReplyDeleteSikujua kama EXIM BANK ni ya TANZANIA. Mwenyewe nani?
wanajitahidi kwakweli nawafagilia sanawe michuzi ulivyokuja sulvan siuliona ATM YA EXIM inayotembea?
ReplyDeletekama hauamini muulizeni mirojo
sweet,
Arusha.