Exim bank imekuwa benki ya kwanza ya Tanzania kutanua mabawa yake hadi nchi za nje. Hivi karibuni benki hiyo imefungua tawi lake nchini Comoro.Tazama jinsi inavyopendeza. Foto hii ni kwa hisani ya mdau wa Bongopix.Cheer up Exim hiyo ndiyo inaitwa kujinafasi kwa raha zako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2008

    MICHUZI MBONA UNAKUWA HUNA HABARI HIVYO? EMIM BANK NI MULTINATIONAL NA ASILI YAKE NI INDIA SIYO TANZANIA KAMA UNAVYOSEMA.


    MZOZAJI.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2008

    Swali,
    Exim bank inaexit mikoa mingapi ndani ya Tanzania?
    Sielewi, wanawezaje kuexpand externally na kuacha kuwapa watu locally chance ya kupata bank services?
    Tuna ujamaa gani?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 08, 2008

    Export Import{exim} Bank iko kwenye nchi nyingi.

    Na sio ya Tanzania

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2008

    Do !!!
    Sikujua kama EXIM BANK ni ya TANZANIA. Mwenyewe nani?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2008

    wanajitahidi kwakweli nawafagilia sanawe michuzi ulivyokuja sulvan siuliona ATM YA EXIM inayotembea?
    kama hauamini muulizeni mirojo
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...