Kamishna wa Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), ambaye ni Vodacom Miss Tanzania 2004, Faraja Kotta, akiwasilisha Mada kuhusu maambukizi ya Ukimwi, alipozungumza na washiriki ya Miss Tanzania 2008 jijini Dar es Salaam juzi. Tume hiyo kwa kushirikiana na Kamati ya Miss Tanzania, iliandaa semina maalum kwa washiriki kujifunza mambo mbalimbali ili kuwa mabalozi wazuri katika kuelimisha jamii kukabiliana na janga la Ukimwi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2008

    Ni Faraja Kota Nyarandu...mpe heshima yake anayostahili...toka kindergaten mpaka chuo kikuu down town kwa machizi na masisy do hapo vp????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...