steven baada ya kula nondozz zake za heshima. chini akiw na mai waifu wake. watatukoma msimu huu. tuna bonge la msomi. magoli yote kwa hesabu hahahahaaha mboni rahaaaaa!

Mh Mkuu wa nani hiii ya nani hiii, naomba kuwasilisha hizi nondoz za heshima, ambazo mdau huyu amezipata kutoka pale chuo kikuu cha Univasiti ya Bwa la maini. Moja yupo na mkewe na nyingine yupo alone.

Naomba kuwasilisha

Mdau Kus (top official).
Habari kamili ni hii

----------------------------------------------------------------------------------------------

By MARK GILBERT wa the Sun


STEVEN GERRARD has proved he's top of the class off the pitch as well as on it after being handed a degree by a leading university.



The England midfielder, 26, received an honourary fellowship to mark his contribution to sport from the Liverpool John Moores University during a ceremony at the city's Anglican cathedral.



Gerrard said: I am very proud to become a fellow of Liverpool John Moores University.



"Not only has the university done so much for the city and people of Liverpool but it has given the science of football international credibility.



"It is an honour to be recognised with this award."

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2008

    Lakini hiyo degree hajaisotea. Wamempa (honor recognised). Tofauti sana na degree ya kuisotea miaka mitatu bwana

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2008

    Kaka Kus nimeona post yako. Nimefurahi sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2008

    IT IS AN HONORARY DEGREE, NOT HONOR/HONOUR DEGREE, THERE IS A DIFRERENCE BETWEEN HONOUR/HONOR DEGREE AND HONORARY DEGREE. BEFORE I GO FURTHER HONOR IS AMERICAN ENGLISH SPELLING AND HONOUR IS BRITISH ENGLISH SPELLING. HENCE, HONORARY DEGREE IS THAT ONE SOMEBODY GETS OR CONFERRED TO DUE TO RECOGNITION OF ACHIEVEMENT OR EXCEPTIONAL SERVICE WITHOUT THE USUAL PREREQUISITES OR OBLIGATIONS, IN SIMPLE LANGUAGE WITHOUT GOING TO THE COLLEGE AND STUDY IT. WHILE HONOUR/HONOR DEGREE IS THAT ONE YOU HAVE TO GO TO SCHOOL TO STUDY FOR IT AND PASS EXAMS IN A VERY STRICTLY MANNER IN A REPUTABLE SCHOOL. BUT THE SAME WORD OURSIDE DEGREE'S STUFF HAS OTHER MEANINGS.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...