Yanga imechapwa 1-0 na tusker toka kwa watani wetu wa jadi katika nusu fainali kali ya pili iliyomalizika sasa hivi katika neshno jipya.
yanga wanaungana na watani wao wa jadi simba waliochapwa kamoja na ugandeaa revenue authority (ura) ya ukweni jana.
kwa maana hiyo timu zote za bongo zimetupwa nje ya kombe laa kagame cup, ambapo fainali itayochezwa jumapili itakuwa kati ya tusker na watoza kodi ura.
simba na yanga watacheza mchana kuwania nafasi ya tatu.
Mbona tarehe ya jana au ulikuwa mlingotini kwa hiyo ulikuwa unajua matokeo.Pole.
ReplyDelete