Home
Unlabelled
gwaride la warembo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani hiyo elfu 80 ya kiingilio ni ya VIP au ndo ya wananchi wote kwa ujumla??
ReplyDeleteHivi huyo Albert Makoye anakagua gwaride au anachagua ni msichana gani amtongoze?
ReplyDeleteJamani swali makoye bado ana ile travel agents nataka niwasiliane nae ili nichukue ticket.michuzi nishtue basi
ReplyDeleteElfu 80 Tshs, halafu ni Leaders Club, wajameni ni nini hasa, halafu hiyo pesa inaenda wapi? Charity au? maana kuna Sponsers kina Voda nao wanatoa pesa vile vile.... tutafika kweli?? Halafu mnasema bongo TAMBARALE.....
ReplyDeletewatoto wazuuuuri.nawatakia kila la heri na mshindi wa dunia atoke bongo.aunt tina bgham
ReplyDeleteanko makoye kashachagua wake tayari,anakaguchulia bazazi wenzake
ReplyDeleteWeye anon wa pili unaongea kinyume. Hebu waangalie hao wasichana kutoa hao wa nne wa mbele, hao nyuma wanaofuata wanamwambia nini huyo baba wa watu hapoooo? usimsingizie Makoye waangalie hao wadogo zako wanavyojitahidi kumtia majaribuni, baba wa watu hata kuwaangalia hawaangalii anaogopa anajitahidi amalize zoezi akakae apumzike lol!
ReplyDeleteNyie mabinti hongereni sana kwa hiyo hatua mlipofikia.Ushauri wangu kwenu ni kwamba haya mashindano ni zaidi ya Urembo,jitahidini sana mzidi kujielimisha kupitia vitabu,internet,vijarida,Tvs,radios, blogs,n.k mnaweza kupata habari za kuwawezesha kujiamini kujibu maswali yenu ambayo mwaweza ulizwa huko mbeleni.Dada zetu mnatuangusha kwenye kujibu maswali jamani!Mfano unaweza kuulizwa swali dogo tu kama."unawezaje kuzungumzia mabadiliko ya hali ya hewa yanayoendelea kutokea hapa duniani"(Global climate changes)ukaanza kujikanyaga kwa sababu magazeti husomi,TV hauangalii,Radio hausikilizi,kwenye website hauingii.Pliiz Ladies
ReplyDeletei don kno its been longtime but off all places leaders...?mashindano yana hadhi ya kimataifa fanyeni sehemu zenye hadhi basi na hiyo 80,000 isije ikawa kama mambo ya columbus kwenye warehouse...manalazimisha kutengeneza profit
ReplyDeleteJamani mbona tanzania na yenyewe mnataka kuifanya kama zimbabwe kipi hasa kigeni yaani mtu kiingilio ulipe shs 80,000/= sasa hizo ni shilling za kitanzania au za kizimbabwe na pia kiingilio hicho ni cha siku moja tu mtu ulipe hiyo hela sasa labda mnamahesabu yenu maana sio kawaida kabisa yaani labda kama unakwenda unapewa na vitu vifuatavyo unaondoka na mlembo mmoja....unapewa guest ya kulala week nzima...unapewa chakula cha kula week nzima na unapewa gali la kutembelea ndio hiyo gharama ya hizo hela alafu wanadhani watu wanachuma hela watu wanakufa na maisha alafu mnaona rahisi kuzitaja hizo hela alafu pia ukumbi wenyewe huo mliotaja kweli maisha kitendawili maana kama mimi hata kukanyaga sikanyagi bora hizo hela nikawape watoto yatima zoteeeee
ReplyDeleteMakoye ni msanii huyo,anaangalia demu wa kutongoza na hakawii kupitia angalau wawili - hadi watano nina uhakika,ila sasa ndio fani ya urembo TZ bado ina safari ndefu kufikia mafanikio kwa sababu warembo wako radhi "kuuza mwili" kuliko sifa walizo nazo!!
ReplyDeletekuna mambo mengi mabaya yanayoendelea kuhusu hawa warembo na viongozi pia wale wanaojiita "Mapedeshee"
Bora niowe retired prostitute kuliko hao 20zomezing. maaana wakitoka hapo wanakuwa wameshazibuka, wanajiona nao superstars, wanaishia mitaa ya posta, kwao wanatoka mapemaaa kupita wakitega watu... nasema 20 ZOMEZING sio mchezo.. kwani mara zote wanawaza ZOMEZING.
ReplyDeletelakini watoto wanapendeza we acha tu.
G7
UK
mbona huyo anayejiita David Villa sijamuelewa vizuri??
ReplyDeleteinakuwa anajiita jina la kiume halafu maelezo yake yanakuwa ni ya kike??
Kazi Mbaya
hivi huyo anayejiita David Villa mbona simuelewi?
ReplyDeleteinakuwaje anatoa maelezo ya kike??
Jamani huyu si ndiye Makoye aliyekuwa ATC-Mwanza kwenye miaka ya 80-89..akituuzia ticketi za kuja Dar .(student fare) wakati tuko Lake secondary ...Eee bwana kama ni yeye jamaa hazeeki mie ninamjua nikiwa mtoto mdogo mpaka leo yuko hivyo..kweli huo ni mpingo asilia..
ReplyDeleteNa ninavyo mjua lazima jamaa avute mmoja...maana alikuwa kiwembe pale 7floor mwanza hoteli disco la jumamosi ..kweli tumetoka mbali..
Good luck..
Doctor...
Eeeehhh hii kali watanzania wenzangu emu nichamulieni hiii
ReplyDeletecommitee ya miss. tanzania hamna mwanamke hata mmoja??
Sorry, Tenende ni yupi wewe?? maana kuna dingi mmoja alikuwa anaitwa Tenende pale Mafinga -Iringa unamjua?Marehemu baba yangu alikuwa rafiki sana na huyo mzee!
ReplyDelete