Home
Unlabelled
jina ndani ya punje ya mchele
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Krib? Wellcome! Karibu? Welcome! Halafu ni Intanational ... Ushauri wakati mwingine muhimu. Hata ukiandika barua ya kuomba kazi mpe unaemwamini aipitie kwanza. Funzo.
ReplyDeleteKatika hilo bango lake alimaanisha kuandika "Welcome......." au nini? Inanitisha sababu hata jina langu anaweza kulikosea kwenye hiyo punje ya mchele.
ReplyDeleteMimi huyu naona ni mjasiriamali mdogo anayehitaji kutiwa moyo na kusaidiwa namna ambavyo angepaswa kuandika hilo neno la Kiingereza "welcome" na sio kumrushia madongo. Anonymous wa 1 na wewe pia angalia namna ulivyoandika comment yako neno 1 la kiswahili na moja la kiingereza umekosea pia.
ReplyDeleteDogo wa kuandika jina kwenye punje Keep It Up,
Hii kipaji kizuri sana awasiliane na world guiness book record ataula huyu kiulaini sana....
ReplyDeletejaribu bahati yako baba kuna watu wametajirika kimchezo mchezo kipaji chako muruwa...
http://www.guinnessworldrecords.com/corporate/contact_us.aspx