mdau aitwaye mchelemchele anajitengenezea ugali wa kila siku kwa kuandika jina lako juu ya punje moja ya mchele na kukuwekea kwenye kidani kwa shilingi 1,500 tu mezani pake kwenye maonesho ya sabasaba. akiwa dukani kwake slipway anachaji shilingi elfu 5 kwa kazi hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2008

    Krib? Wellcome! Karibu? Welcome! Halafu ni Intanational ... Ushauri wakati mwingine muhimu. Hata ukiandika barua ya kuomba kazi mpe unaemwamini aipitie kwanza. Funzo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2008

    Katika hilo bango lake alimaanisha kuandika "Welcome......." au nini? Inanitisha sababu hata jina langu anaweza kulikosea kwenye hiyo punje ya mchele.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2008

    Mimi huyu naona ni mjasiriamali mdogo anayehitaji kutiwa moyo na kusaidiwa namna ambavyo angepaswa kuandika hilo neno la Kiingereza "welcome" na sio kumrushia madongo. Anonymous wa 1 na wewe pia angalia namna ulivyoandika comment yako neno 1 la kiswahili na moja la kiingereza umekosea pia.

    Dogo wa kuandika jina kwenye punje Keep It Up,

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2008

    Hii kipaji kizuri sana awasiliane na world guiness book record ataula huyu kiulaini sana....

    jaribu bahati yako baba kuna watu wametajirika kimchezo mchezo kipaji chako muruwa...

    http://www.guinnessworldrecords.com/corporate/contact_us.aspx

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...