Home
Unlabelled
jk akiwa mati mlingano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
George Ley na Rita Ley kwenye ofisi moja? - hawa ni wandungu au mume na mke? Hapana wasi wasi wa Nepotism hapa au ni coincidence tu majina yao yamefanana? Achalia mbali hilo swali la majina, utafiti huu wa udongo ni kitu cha maana sana kwa ukulima na ufugaji wa wanyama. Naona hii Michuzi wiki hiyo yote hii umetupa habari za maana za ziara ya Raisi kwenye mkoa wa Tanga, na wengi wametoa maoni ya kusifu. Ahsante.
ReplyDeleteAnd Still standing tall! Tanzania motomoto! Sasa Je? Hamna kurudi nyuma songa bele na reforms, and reforms like yesterday.
ReplyDeleteNawafahamu George na Rita. Ni couples hawa na walioana wakiwa Kituo cha Utafiti Uyole miaka ya mwisho ya 1980. Kinachonishangaza ni kwa nini wote walitoa maelezo kwa Mhe Raisi. Upendeleo au?
ReplyDelete