Mtatifi wa udongo katika kituo cha utafiti wa kilimo Mlingano Tanga Bi Rita Ley akitoa maelezo kwa JK juu ya shughuli za utafiti wa udongo katika kituo hicho wakati Rais alipokitembelea
Mratibu wa kitengo cha utafiti wa udongo katika kituo cha utafiti wa kilimo Mlingano Tanga Dr.George Ley akitoa maelezo kuhusu ramani inayoonesha maeneo mbalimbali nchini ambapo utafiti wa udongo unafanyika wakati JK alipotembelea kituo hicho leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2008

    George Ley na Rita Ley kwenye ofisi moja? - hawa ni wandungu au mume na mke? Hapana wasi wasi wa Nepotism hapa au ni coincidence tu majina yao yamefanana? Achalia mbali hilo swali la majina, utafiti huu wa udongo ni kitu cha maana sana kwa ukulima na ufugaji wa wanyama. Naona hii Michuzi wiki hiyo yote hii umetupa habari za maana za ziara ya Raisi kwenye mkoa wa Tanga, na wengi wametoa maoni ya kusifu. Ahsante.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2008

    And Still standing tall! Tanzania motomoto! Sasa Je? Hamna kurudi nyuma songa bele na reforms, and reforms like yesterday.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2008

    Nawafahamu George na Rita. Ni couples hawa na walioana wakiwa Kituo cha Utafiti Uyole miaka ya mwisho ya 1980. Kinachonishangaza ni kwa nini wote walitoa maelezo kwa Mhe Raisi. Upendeleo au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...