balozi wa rwanda nchini akiwavisha medali washindi wa pili uganda revenue authority
wadau wa castle lager walikuwepo pia
trupu la tbc one likirusha mambo laivu. kipa wa kimataifa wa zamani wa pan african juma pondamali 'mensah' (shoto chini) akiwa na juma nkhamia na crifford ndimbo wakifanya mambo
wanaume tmk walikuwepo kurusha mapanga yao shwaa shwaaa...
washindi wa tatu wa kombe la kagame cup 2008, wekundu wa msimbazi simba sc
mwenyekiti wa simba hassan dalali (mwenye kibandiko) akiwa na vingunge wa friends of simba


balozi wa kenya nchini mh. mbaya (mwenye miwani) akifurahia kombe la kagame na vijana wake wa tusker
warembo wa miss tz 2008 nao walikuwepo kushuhudia fainali za kombe la kagame cup






kocha wa tusker jacob 'ghost' mulee akionesha dola 30,000 keshi alizopokea kwa kutwaa ubingwa wa kombe la kagame cup 2008. rais paul kagame anatoa dola 60,000 kila mwaka kwa ajili ya kombe hilo ambapo mshindi wa kwanza analamba hizo dola 30,000 wa pili anabeba 20,000 na wa tatu anatia kibindoni dola 10,000. tanzania breweries kupitia kilaji chake cha castle lager wametoa milioni 80 pamoja na jezi na vifaa kama wadhamini wakuu
nahodha wa simba akionesha dola 10,000 walizovuna kama washindi wa tatu wa chee baada ya yanga kuingia mitini

washindi wa pili uganda revenue authority kabla ya mchezo wao na tusker waliolala 2-1
waamuzi wa uliokuwa mpambano wa simba na yanga wakipiga jalamba kabla ya mchezo wa kusaka mshindi wa tatu ambao yanga hawakutokea uwanjani kwa sababu wanazozijua wenyewe

fulanazzzzz ilikuwepo kuleta vitu laivu toka neshno
juu na chini ni mabingwa wapya wa kombe la kagame cup 2008 wakifurahia ushindi wao wa bao 2-1 dhidi ya uganda revenue authority



tusker fc kabla ya mchezo wao wa fainali


bosi wa biashara wa tanzania breweries limited david minda akiwavisha medali za ushindi wa tatu wachezaji wa simba sc
rais wa tff sir leodegar chilla tenga akiwavisha medali za ushindi wa pili uganda revenue authority





















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2008

    Duuuuh yani yanga anaenda kuzikwa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2008

    Duuuuh yani yanga anaenda kuzikwa.
    Yani siwezi kuamini kwamba timu zina maviongozi kibao na waliweza kukubali timu kutoingia uwanjani kwenye karne hii?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2008

    Hivi jamani, huwa tunajiuliza mishahara ya hawa viongozi wetu, kwahiyo Kagame analipwa how much per year ili aweze kutoa $60,000 mfukoni mwake kwa washindi?, au ni hela za sponsors?, na kama ni za sponsors kwanini anatangaza jina lake?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2008

    Jamani naomba ufafanuzi kwanini Tenga anaitwa SIR .... kuanzia lini nailikuwaje mpaka akaitwa hivyo ...wadau angalieni hii blog inaangaliwa na watu walioelevuka kwahiyo kama tunatumia maneno jaribuni kufikiria kwanza...(Think before you ink..)
    Mdau wa Karagwe.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 31, 2008

    Sir unayoijuwa wewe ni ile to ya kuwa knighted by the Queen, basi kwa taarifa yako Sir haina maana hiyo moja tu mtu anaweza kutanguliziwa Sir kabla ya jina lake ikimaanisha ARCHAIC, I mean a manof a rank or position, kwa TENGA ni sawa ni mtu mwenye rank kubwa CECAFA na TFF, pia Sir anaweza kuitwa mtu yoyote yule ilimradi, used without a name as a form of respect or polite address t a man, for a example unaweza kusema, can I help you Sir? Au mtu anapoandika barua can be used as a cap: Dear Sir, alafu unaendela na barua yako, this is like a conventional form of address at the beginning of a formal letter. KWA HIYO KAKUNAAKOSA KABISA KUMWIITA TENGA SIR. dont be myopia.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 31, 2008

    Kaka misupu.....acha ubitozi wewe sasa Dole la nini na upo kazini ???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...