Home
Unlabelled
matukio fainali za kombe la kagame cup 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duuuuh yani yanga anaenda kuzikwa.
ReplyDeleteDuuuuh yani yanga anaenda kuzikwa.
ReplyDeleteYani siwezi kuamini kwamba timu zina maviongozi kibao na waliweza kukubali timu kutoingia uwanjani kwenye karne hii?
Hivi jamani, huwa tunajiuliza mishahara ya hawa viongozi wetu, kwahiyo Kagame analipwa how much per year ili aweze kutoa $60,000 mfukoni mwake kwa washindi?, au ni hela za sponsors?, na kama ni za sponsors kwanini anatangaza jina lake?
ReplyDeleteJamani naomba ufafanuzi kwanini Tenga anaitwa SIR .... kuanzia lini nailikuwaje mpaka akaitwa hivyo ...wadau angalieni hii blog inaangaliwa na watu walioelevuka kwahiyo kama tunatumia maneno jaribuni kufikiria kwanza...(Think before you ink..)
ReplyDeleteMdau wa Karagwe.
Sir unayoijuwa wewe ni ile to ya kuwa knighted by the Queen, basi kwa taarifa yako Sir haina maana hiyo moja tu mtu anaweza kutanguliziwa Sir kabla ya jina lake ikimaanisha ARCHAIC, I mean a manof a rank or position, kwa TENGA ni sawa ni mtu mwenye rank kubwa CECAFA na TFF, pia Sir anaweza kuitwa mtu yoyote yule ilimradi, used without a name as a form of respect or polite address t a man, for a example unaweza kusema, can I help you Sir? Au mtu anapoandika barua can be used as a cap: Dear Sir, alafu unaendela na barua yako, this is like a conventional form of address at the beginning of a formal letter. KWA HIYO KAKUNAAKOSA KABISA KUMWIITA TENGA SIR. dont be myopia.
ReplyDeleteKaka misupu.....acha ubitozi wewe sasa Dole la nini na upo kazini ???
ReplyDelete