Wadau!
Naomba nitoe tangazo kwa wana Weruweru wote kuwa tumeahirisha re- union siku ya tarehe 8/8/2008 kutokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wetu, na tunapenda kutoa tangazo rasmi kuwa re-union yetu itafanyika jumamosi ya mwisho wa mwezi ambayo itakuwa tarehe 30/08/2008.
tunaomba radhi kwa wadau wote kutokana na usumbufu wowote utakaojitokeza. na vilevile tunaomba muudhurie bila kukosa kwani kutakuwa na mambo mazuri sana siku hiyo, utakaposoma tangazo hili mtaarifu na mwenzio.
kwa taharifa zaidi wasiliana nasi kwa email
weruweru08@yahoo.com
salaam,
class of 1995
Lulu Komanya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...