Ndugu Michuzi,
kwa niaba ya kanisa la Umoja hapa Dallas Texas,ninapenda kuchukua nafasi hii kutoa pole kwa Mheshimiwa Spika,Rais wetu, familia na viongozi wote wa chama cha Chadema kwa msiba mkubwa uliowapata wa kuondokewa na mbunge wa Tarime,mheshimiwa Chacha Zakayo Wangwe.
Msiba huu umekuwa pigo sio kwa familia yake peke yake au chama chake bali umekuwa pigo kwa Taifa zima. Kila moja wetu anafahamu kwamba,mheshimiwa Chacha ni mchapakazi na hodari wa kusimamia kile kitu anachoamini hata kama kitagharimu uhai wake.

Tunaamini yale ambayo Mungu ametaka ayafanye katika uhai wake amefanya.
Mwisho ninapenda kuwashauri wabunge wetu wajitahidi kufuata sheria za usalama bara barani,ni vigumu kujua kwa nini mheshimiwa Wangwe aliamua kusafiri na gari bovu ambalo hata nuts zake za matairi zilikuwa hazifungu. Tunaomba pia wabunge wetu waepuke kuendesha magari wakiwa wamechoka,wanaumwa au hata kulewa mara nyingine ili kuepuka ajali ambazo sio za lazima.
Pastor Abisalom Nasuwa
Umoja Church
12727 Hillcrest Dalla,Texas75230
Email: Umojachurch@yahoo.com

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...