Naibu Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa Dk. Asha Rose Migiro, akikabidhi kitabu chenye taarifa ya Kamisheni ya kuwawezesha kisheria watu wenye kipato cha chini kwa Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein, wakati alipomtembelea Ofisini kwake Ikulu jijini Dar leo. Dk. Migiro yupo Nchini kwa ajili ya mapumziko ambapo ametumia nafasi hiyo kwa ajili ya kuonana na kuzungumza na viongozi mbalimbali hapa nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2008

    Kwa nini 1st. lady wetu asiwe anajiwachia kichwa kama huyu mama.

    Kwa nini 1st. lady wetu asiwe anavaa jewelleries, so simple kama huyu mama?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2008

    Tofauti ni kuwa huyu kaenda shule. hivyo hahitaji kujikweza kwa kuvaa jewelleries kama mwanamke shangingi. Walioenda shule wanajua kuwa ettiquette ni kuvaa kidani simple na jumla ya jewellery zote unazovaa ukiachia pete ya ndoa zisizidi tatu. Ni nyema viongozi wetu wanawake wakajua ettiquettes za kimataifa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...