Home
Unlabelled
ndinga ya mshindi vodacom miss tz 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunaomba matokeo ya Simba, acha Uyanga wako Michuzi!
ReplyDeleteMwaka huu Mamiss wamechoka kweli,sasa hebu angalia kama hao wa mwanzo hapo,huyo aliyesimama kushoto,na anayemfuatia aliyechuchumaa kushoto naye mmhh ,labda wa huko nyumba lakini hao wanaoonekana hapo mbele ni balaa,yaani hata facial expressions zao ni utata!!
ReplyDeletejamani mbona nnatupatia wima mchana mchana!!!
ReplyDeletekunawengine wananiudhi yaani wanakenua meno mpaka nje wakati wanajua kabisa wataishia kugusa body tu hapo
ReplyDeleteAlaa! Sio RAV4 ya 100yrs. ago tena?
ReplyDeletegand Vitara bei tshs 42m???wadanganyeni hao hao akina dada.
ReplyDeleteJamani wadhamini watafute gari zingine za maana.Hii gari si Suzuki Feronza? Watawapata sana!
ReplyDeleteMdau
Col, Ohio
Halafu hiyo ndio a good shot? mama yangu. Kila mmoja alikua naangalia sijui cheka, nuna atakavyo. Hawakuwana mwelekeo wala mpangilio kabisa.Hawaonekani hata wote.
ReplyDeletelabda mwaka huu ni braniac tu hapo lakini kwa beauty bado sijaona hebu lete picha nzuri labda tunakosea tusemayo
Commitee/ Organisers wa miss Tanzania hamna mwanamke hata mmoja...
ReplyDeletemnasemaje wadau kuhusu hili??
Gari kweli jipya. Ila sasa ina maana gani washiriki toka mikoani washiriki alafu miss Tanzania piga ua lazima toke Dar. Badilisheni jipa iteni, Mis Dar- Tanzania
ReplyDeleteHAWA WATOTO SIJUI WAMEFIKAJE HAPA WALIPO..JAMANI YA ALL NEED KERIA..
ReplyDelete