Kukiwa kumebaki siku 3 tu kabla ya shughuli ya New England Umoja kuwa hewani nimeombwa kuwaletea directions na contacts zaidi ili iwe rahisi kwako na familia yako kuwasiliana na wanakamati.


Majina yaliomo humu ni baadhi tu ya majina ya wanakamati ambao wamekuwa wakifanyakazi behind the scene usiku na mchana bila kuchoka ili kuyaweka mambo sawa.Hivyo ndugu yangu, unakaribishwa sana.


Na tafadhali usisite kuwasiliana na mwanakamati yoyote alie karibu nawe. Ubora wa shughuli yoyote ni umoja na ushirikiano na kwa kuzingatia hayo ndipo tutafanikisha shughuli hii.


Tafadhali kwa mawasiliano zaidi wasiliana na watu wafuatao:

Stephen 413.658.5253,

Siraji 978.413.1164,

Muri 781.479.6437

Salum 617.308.2971,

Marwa 978.537.7911,

Sangiwa 978.846.9898

Baraka 413.364.8151,

Ahmad 413.221.2935,

Richard 413.262.0400

Severine 413.306.2109


Shukran!

Isaac Kibodya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2008

    Shamba huko aje nani! washamba tu nyie mnakaa vijijini,mtajumuika wenyewe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2008

    hizi shughulil sasa zinatosha. tunge penda kuona mnatayalisha getherings za maendeleo na kujikwamua kwa watanzania. watanzania wengi hawaijui hii nchi inavyo kwenda na hawana mbele wala nyuma. wanaishi maisha ya kulipa bill tu na kwenda kazini tena, No future at All. Andaaeni ghafla kama za Tanazians proffesionals in the City, tupeana mawazo ya kuishi hapa. Marekani sasa ni pagumu sana maisha ni magumu mno na hali za Wantanzania hazibadiliki.
    Nawakilisha.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2008

    Acheni kuwa negative, kazi fanyeni na pia pateni muda wa kujifurahisha. Tatizo lenu wengi mna matatizo ya maisha kwa hiyo mnatafuta sababu za kulalamika.
    Watanzania wa huko mass niko na nyinyi na endeleeni na shughuli zenu kama kawaida, achanane na hao waswahili wasio kuwa na maana. Shamba au mjini hiyo shughuli hujaindaa wewe, acha wivu wewe anonymous hapo juu. Kajenge taifa taifa, wivu, ufisadi utakuuwa kabla ya siku zako.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2008

    Duu, wewe anonymous wa hapo juu, umeamka asubuhi na kisirani hivyo. Acha jealoussssssssssssssssssssss
    ahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
    Enjoy New England

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2008

    mdau hapo juu mbona una hasira kama wewe hutaki kuja wenzio tutakuwepo kama vijijini wewe wa mjini una nini?? tuache fitna watanzania.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2008

    shamba shamba usio lijua usiku wa giza, pole sana nakuonea huruma,mimi wewe nakutambua mpaka kwenu.kwani mtandao hauna maana nimekufanyia kazi kujua wapi hio mail imetoka uta kuja aibishwa, wacha chongo leo umesahau kama ume toka shamba kwakua upo hapo, watu wote walio andaa ghafla hio washoka na nikatika kujumuika hivyo tuna kuswamehe ondoa hasira za kibinafsi,kama mdau mungine alivyo andika korosho itakua ziku si zako pilipili ipo shamba yakuwashini, NEW ENGLAND msijali hayo tunayaona bungeni kwa hiyo simapya.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 18, 2008

    Msinitishe nyinyi,ukweli unauma kijijini kijijini tu!na ndio maana hiyo pati yenu mnaifanya ya kiutamaduni,washamba tu nyinyi watu wenyewe mkitoka nje mnafukuza madubu halafu mnasema nini,msijifanye wa mjini nyinyi hamna lolote,hatishwi mtu hapa.Maanake naona mna usongo na mimi mlifikiri siwezi kujibu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 18, 2008

    DUUUUUUUUUUUUUUUU, pole na hasira taratibu. Inaonyesha unahasira sana. Mbona una wivu,waache wenzio wajifurahishe na wewe katafute pa kujifurahisha. Inaoneka unapata hasira watu wakikujibu, wewe endelea kuumia roho, wenzio shamba kama unavyokuita wewe wanaendelea kujifurahisha. Unavyoonekana hauna kitu cha kufanya weekend hiyo ndio maana hasira nyingi. Tafuta cha kufanya usije ukajiua bure.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 18, 2008

    wee mkambunga wa wapi?? maana hata mazungumzo yako unajionyesha kabisa sio mtoto wa mjini maana hata kiswahili chako hakijanyooka. utamaduni ndio wenyewe kwani wewe umetokea wapi?acha wivuuuuu.sisi tunakula rahaaa. na kama unaweza chukua kitanzi mkulima mkubwa wee.holaaaaa back huuuuuu!!!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 19, 2008

    Duh! Mbona mambo lakini mimi nimejiuliza kwanini party iwe jumapili? Ingekuwa long weekend kweli ningeelewa. Huko kazi Monday niaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...