mapicha haya ni baadhi tu kati ya mengi na habari zake utazozikuta katika tovuti binafsi ya mshindi wa big brother II richard iendayo kwa address ya http://www.richardbba2winner.com/
nimeyaweka hapa makusudi ili kwanza kutoa hongera kwa richard kwa kuwa na tovuti inayovutia na ambayo ni mfano wa kuigwa sio tu kwa vile ina jipya karibu kila siku bali pia imetengenezwa kwa weledi unaotakiwa.
hii ni changamoto kubwa anayotoa richard katika dunia ya sasa kwani globu na tovuti nyingi zinadoda aidha kwa kukosa cha kuandika na kubandika ama ufinyu wa ubunifu katika kuendeleza libeneke kama hili. rai ni kwamba globu ama tovuti ni maktaba ya kisasa ambayo unashea na wenzio bila kuwa na wasiwasi wa picha kupotea ama kuharibika tofauti na kutegemea albamu ya mapicha inayododa kabatini baada ya muda kuopita.
natoa wito, hasa kwa wadau wenye majina katika jamii kuunda kitu kama hiki kwani dunia ya sasa ni mawasiliano na mawasiliano yenyewe yamerahisishwa sana kiasi hata inakuwa raha. inasikitisha kuona nyota wetu karibu wote (wanamuziki, wanamichezo, wanasiasa, wataalamu wa fani mbalimbali n.k) wa bongo hawana tovuti, ingawa wanafanya mengi katika jamii. natumai changamoto hii ya richard itaawaamsha ili mambo yawe mswano.
wataohitaji msaada hata wa mawazo wa namna ya kuanzisha na kuendesha globu ama tovuti tunaweza kuwasiliana ili tusaidiane kupitia issamichuzi@gmail. com
Balozi wetu alikuwa na wakati wa kuonana na huyu jamaa enh? sijui aliweka appoitment muda gani na kama ilikuwa ni siku ile ambayo ndiyo iliyowekwa kumuona mheshimiwa. i don't think so.
ReplyDeleteWhat are all these beutiful Tanzanian malaikas doing in the UK We jamaa Richard nakuonea wivu kwa hiyo mikonos Mtoto aliyeshinda ni kisura lakini too much bones
ReplyDeleteKama huyo ndiye Miss UK 2008 basi mwaka huu huko hakuna mtu.
ReplyDeletebora angepewa huyo dada wa pili kutoka kushoto mwenye black picha ya tatu kutoka chini hata kama hakushiriki.
Mdau
lisa, get in touch with me at jstella36@yahoo.com
ReplyDeletemnasura nzuri sana wadada mmependeza.
ReplyDeletesweet,
Arusha.
Comment yangu sio ya urembo, bali napenda kumpongeza Richard kwa kununua kiwanja kule Lushoto {Nundu ya Ngombe} Hata mimi nikienda huko nitajaribu kunua kasehemu kwa ajili ya nyumba ya mapumziko
ReplyDeleteMademu wa kibongo UK wazuri na wanajua kuvaa kuliko wabongo wa US
ReplyDeletemdau hapo juu,tatizo wanawake wa US kuvaa nusu ndo wanaona wamevaa na wanaume kuvaa manguo makubwa ndo wanaona wako juu.
ReplyDeletekumbe china yuko london, duh uk kweli sehemu ya wazee wa zamani,ametulia sana mzee yuko kimya au ashajipiga kisonji?
ReplyDeleteCHINA ANGEKUWA KAMA KINA KANU AU MICHAEL ESSIENEH ALIPATA MKATABA NA TIMU YA DARAJA LA TATU LAKINI AKAONDOKA. ANGEWEKA MIZIZI KWA NCHI YETU. LEO KARUDI KULE KULE LAKINI KWA STYLE YA BOX.
ReplyDeletePINTO UMEKUWA LUNDENGA WA UK?
pinto amekuwa lundenga wa UK? KWELLI CHINA ALIPOTEZA NAFASI YAKE AMGEKUWA ESSIENE AU KANU WA TANZANIA KAMA ANGETULIZA AKILI. ALIPATA MKATABA NA WALSALL.AKAUVURUGA KWENDA ARABUNI.
ReplyDelete