Finance, Human Resources and Admin Executive for a Lady

Dear all,
A well established organisation is looking for a competent lady to take the position of Head of Finance, Human Resources Management and Administration.

The candidate must have a finance/accounting background backed by a postgraduate training in business, administration, management or human resources management on top of good experience in a senior position.

Interested candidates must be willing to work in a neighbouring country (to Tanzania ). Very attractive salary and perks.

Interested candidates should contact me by
e-mail olomi@yahoo.com (only) for further details
regards

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2008

    Hili tangazo linaonyesha ubaguzi wa kijinsia. Halina tofauti na kutangaza kazi kwa wanaume tu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2008

    Jamani huu utaratibu wa kuchanganya finance na humani resource siyo utaratibu muafaka kwani finance yeye kazi yake ni kubana michuzi na wakati huo huo human resource anatakiwa angalau kuangalia masilahi ya wafanyakazi na shirika. hivi vyeo vinatakiwa kutenganishwa. mwisho nasema tangazo ni la kibaguzi au hiyo kampuni inatafuta mchumba?

    Natombe
    Moshi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2008

    Hellow, mimi nashindwa kuelewa nchi hii.........kila kitu mnatoa upendeleo kwa jinsia ya kike....hili ni tatizo la mbeleni tunalo litengeneza wenyewe.
    Maana nafasi za uongozi, shuleni na nk. mnapendelea jinsia. itafika siku tena mtakuja kutoa upendeleo kwa wanaume. Huyu jamaa anatafuta mke mwenye moja kati ya fani hizo...hana maana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2008

    Mshikaji , unatangaza nafasi ya Head of Finance & HR wakati wewe mwenyewe una email ya yahoo ??

    Sawa hilo nimekubali labda wewe ni ajenti (agent) wa hiyo kampuni tu, basi hebu tupatie kitu kinachoitwa "Job Description" kwanza.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2008

    Anony July 17, 2008 7:28 PM wa kama hujui job description ya Finance and HR you are not qualified to even consider applying.

    Anony wa July 17, 2008 9:08 AM (Natombe); siku hizi makampuni mengi binafsi au semi-autonomous yameanza utaratibu wa kuunganisha HR and Office Administration na Finance kupunguza gharama za kuwa na management kubwa bila ulazima. Hasahasa kama shirika halina wafanyakazi wengi sana. Isitoshe in my experience, kuajiri watu waliosoma PSPA inakuwaga matatizo kufanya HR maana wanakuwa ni longolongo na siasa kibao. Usually watu wenye business training ni afadhali kufanya kazi za HR. Kuna baadhi ya vyuo vinafundisha HR kama stream ya undergraduate BCom/BBA program, ila sio wengi wanaochukua mkondo huo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 19, 2008

    Bado hujajibu kwa nini huna job descption hapa. Job Description ina inaonyesha mengi ikiwemo reporting structure., nk . Na pia nani mwenye degree zake za maana hawezi ku-apply kazi amabayo hata Jina la kampuni hamna bwana!! Sikulaumu sana kwa sababu bado huna hata huyo HR person katika kampuni, mtafute sana atakusaidia :-)

    Tayari umeshasema kama kampuni zinatofautiana katika mausuala ya HR. Mengine yanaunganisha na Finance na mengine kwa zamani yanagusa masuala ya Utawala nk nk .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...