Home
Unlabelled
tigo le' night clube de sabasasa 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hili kweli bao la kisigino.. Wapinzani inabidi wafanye kazi ya ziada kuwakamata Tigo maana wanawapita kama wamesimama vile! Tigo is hitting them real HARD!
ReplyDeleteTIGO GOOOOOOOOOOO!!!!!!!!! EXELLENT!!!! WELL DONE YAAN INAONEKANA MAKERTING MANAGER WAO MZURI SANA SAFI SANA ...I LIKE IT.
ReplyDeleteneno "mbeleni" ni matusi! tafadhali tumia neno linalofaa
ReplyDeleteEbwana kaka michuzi,hii ni mara yangu ya kwanza kutuma maoni hapa ndani ya blog ya jamii ila ni mfuatiliaji mzuri mnooo.nashkuru kwa hii nafasi,napenda kufafanua jina la huyo ambae hukumtaja juu ya hii picha ni Fresh G toka KWANZA UNITY kundi lililowakilisha Hip Hop Tanzania na nje ya Tanzania pia wakiwemo Rhymeson,Kibacha. D-Rob Nigga one (R.I.P)
ReplyDeletesi vibaya wadau wa Hip Hop Tanzania tukautambua mchango wa hawa kaka zetu, pasina kusahau mchango wa Dj Venture Big up sana bro,
pa1...
Kwa jina mimi ni Tuma Maoni aka Majukumu
Big ups Kelvin Twisa. Kelvin ni mtu wa ku think big always. Nina uhakika he will change the way we do business back home.
ReplyDeleteNina uhakika Kelvin Twissa ndio one the future business leaders nchini kwetu.
Mimi naona too much credit inakwenda kwa Kelvin Twisa...lakini sithani kama anastahili credit zote (najua mtaniona nabana)...uongozi wa juu wa Tigo unastahili credit sana maana wao wasingethamini mawazo na uhuru wa timu ya Kelvin Twisa sithani kama haya anayoyafanya yangewezekana.
ReplyDeleteMarketing Managers wa makampuni mengine kama Celtel, Vodacom, Cocacola, TBL ext hawana uhuru alionao Kelvin katika kufanya promotion ya bithaa zao....ndio maana hawaonekani kughara kama anavyoonekana Kelvin. Hilo ni moja la pili, Michuzi anampa nafasi Kelvin kwenye hii blog kwa sababu mbalimbali mojawapo ni kwa sababu Tigo ndio Main Sponsors wa hii blogu (sorry Bro Michuzi).
That said, Kelvin is doing a good job...but Tigo (company as a whole) they need to do more on improving Customer Service and Quality of Service the offer.
Mdau UK.
Mdau UK!
ReplyDeleteumechemsha kwanza kabisa kwa kusema 'unathani' badala ya unadhani. pili umeseme 'mimi naona', wewe??? wewe nani kwani. huna haya! Yaani u wanna sound authoritative, wakati huna unalolijua.
Kwanza ngoja nikupashe. Sio kweli kwamba hizo kampuni, ambazo bila shaka zimekutuma kutaka kumpaka Kelvin na kumshusha (jambo ambalo katu huwezi, jamaa yuko juu, panda ngazi mfuate) haziwapi uhuru watu wake wa masoko. ni ubinifu tu ndio unaowashinda kaka/dada.
Halafu huyo Michuzi wa watu wala usitake kumuonea. Mapicha mangapi ya makampuni pinzani ya Tigo tumeyaona humu. Yeye anaweka kinachouzika, na sio kinachoboa. Kama wao hawana kitu exiting na unique unatakaje? Achana na Michuzi kabisa, tena ukome. Kwanza Tigo sio main sponsor. Unahitaji miwani; ni mmoja wa ma-sponsor, hiloooooo.
Halafu cheki ulivyo mnafiki. Kama kweli uko UK unajuaje ya huduma za Tigo na nyinginezo? ovyooooooo
Ushauri wa bure kwa haters kama wewe - fanyeni yenu tuone ili kama sifa tuwape. Hao uliowataja wataendelea kupigwa bao na Kelvin na wewe utaendelea kulia na kusaga meno kwa wivu. Jamani msiwe kutwa kucha kutafuta wachawi wakati nyie wenyewe hata kujaribu hamjajaribu.
Go Kelvin go! Go Tigo goooo!
Wenye wivu wajinyonge sana, eee wenye wivu wajinyomnge mamaa... kaimba saida karoli. Na wewe ngoja nikutafutie kamba ya katani...
Wewe uliyemjibu Mdau UK hapo juu.
ReplyDeleteInaonyesha dhahiri kuwa leo umeweza kupata Shs 500 ya kwenda cafe kutumia komputa na matokeo yake kuja kuchafua hali ya hewa humu. Hongera sana umetuonyesha pia kuwa unajua kutumia keyboard. Ila umetukitisha kuwa hujui kusoma na kuelewa kilichoandikwa na Mdau UK. Zaidi ya hilo umeonyesha pia ni jinsi gani unajipendekeza kwa Kelvin Twissa.
Mbona watu mnaanza kujitafutia "Cheap Publicity"? How come mnajifanya kujua mambo ya kitendaji ya mwajiriwa wa TIGO kama si wewe mwenywe ndio unajiandikia kujitafutia misifa?
ReplyDeleteWe are not fools enough to be fooled this way!!!!