Dear Wazalendo and my fellow members of TPN;

It is with deepest sympathy I announce the death of our brother, friend and colleague Simbo Ntiro who was also a Vice-Chairperson of TPN ICT Division.
Let us all pray for the family of the deceased so that God can give them strength to face The reality in this tragedy.
Sanctus Mtsimbe
TPN, President

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2008

    Tumaini, hapa, sio sehem ya kuandika maneno ya kejeli.. tafuta maneno yenye busara kuandika hapa na hasa ktk kipindi kama hiki.. utakuja kufiwa na wewe na mtu atokee akuambie hayo maneno ulioyaandika hapo juu each and every word.. sidhani kama utafurahia..
    Dear, David and all of Ntiro and Sawe's family, may God almighty give you strength through this very hard moment.
    We are all heading there, its just the matter of time.. As they say, in life the only thing that is certain, is death..Tumuombee simbo apumzike kwa amani..
    God bless you all..
    Member of High Table.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2008

    Poleni wafiwa
    Bwana alitoa na Bwana alitwaa Jina la Bwana lihimidiwe.
    Ila ulieta Punguza kidhungu, Kidhungu kingi humo inawezekana una point ila hatukuelewi.
    Poleni mwaya.

    ReplyDelete
  3. SORRY ANNON 8:46 MNYAZI MUNGU ANILAANI KWA HILO. aaaaaaamen

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 15, 2008

    RIP simbo may God rest your soul. Tumaini sio lazima kila topic uchangie wakati mwingine unachangia pumba sana na mara nyingi tu any way una uhuru wa kuandika utakacho ila kwa ushauri uwe unafikiria kabla ya kuandika. Unasema Mungu akulaani alafu unamalizia amen unajua laana ya Mungu inavyofanya kazi. au unaomba tu kitu ambacho kiko nje ya uwezo wako. Mungu sio wa kumjaribu wala sio wa masihara akishusha laana yake hakuna hata kiungo chako kimoja kitakachosalimika kwa hiyo tubu kwa Mungu wako.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 15, 2008

    sote kwa mola tumetoka.ndugu wafiwa kama kuna mwenye picha ya marehemu naomba aipost hapa,ukute kuna wanaomfahamu kwa sura na si kwa jina wapate kuomboleza pia.RIP ndugu yetu Simbo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 15, 2008

    RIP Simbo!!! Wadau wa JAkiz tutakumiss saaaaaannnnaaaaa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 16, 2008

    POLENI KWA MSIBA WA SIMBO !!!

    From comments he seems to have been a nice person BUT if he was ICT man and we do not have his image, hata kapicha kazamani, JAMANI ndio kuenzi gani huku!

    Once again,POLENI and may it please the God almighty that we who have not see him under the sun might see him in the other world.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...