Home
Unlabelled
wadau wa ughaibuni waja kula sabasaba bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ok Fellas, looking great! representing, by the way what joint was that?
ReplyDeleteHello Bremer ..umerudi bongo kuoa nini naona una totoz mbichi zimekuzunguka ...
ReplyDeleteIts me Old friend of Bunge primary school ...Seven C ...
Big group Aboo , Khadija , Lulu , Amani Mlaki, Bingi , Allen , Mark , Josiah Malonga ,Grace Mwanga ...keep it bro. we are all cheering for you . huyo alivaa Batick ni dogo au ... cheers !
Frank Kambira punguza bia na chicken skin. Ona ulivokuwa mnono na apo uko under 30yrs! ukifika 40 utakuwa mbabu! i used to like u when ulipokuwa portable, sasa ivi mvuto utapotea.
ReplyDeleteJamani huyu kaka wa kwanza mwenye tshirt ya brown ana smile nzuri plus cute dimples ningependa kujua anaitwa nani.
ReplyDeleteMsinibanie nahitaji jina tu.
Baby Doll.
Yeah michuzi hawa angalau wanaonekana wa ughaibuni siyo wale wengine ulikuwa unaweka machovu kama nini.. lakini any way ughaibuni ni mpangilio tu wa maisha ...una weza kuwa ughaibuni ukawa mchovu vile vile...
ReplyDeleteWoooooooowww!!. Ka'misupu snepu imetulia. I really like the guy with a brown t-shirt next to the one with t-shirt ya batiki. I would love to get his number (teh! teh! teh!) He is really attractive. people,Bongo guys are cute, aren't they?
ReplyDeleteHawakuja Bongo kwa sabasaba ila ndio kipindi cha likizo huku ughaibuni.
ReplyDeleteHata mimi Ijumaa nitakua Bongo.
Mbali ya hayo mbona hao wadada kama wako kwenye kitchen party.
Msambaa
by the way hawa jamaa wawili nawadai hivyo tanueni lakini mkirudi tu naisubiri fweza yangu.
ReplyDeleteHuyu kaka anaitwa Frank Kambira alikuwa anaishi Changanyikeni.kwao wako watatu! kaka peke yake two sisters. Mpende tu apa online! ana wake ampendae, ila hujakosea sana, yeye ni mzuri kuliko dada zake, imagine. He is cute na hana meno ya kichaga kama sisy's wake.
ReplyDeleteBongo ukitaka ujulikane uko Ughaibuni lazima uwe umechana,vinginevyo hakieleweki.Ukiwa Dar Tanzania yetu mambo safi lazima uwe na Ndambi,watoto wadogo acheni kufagilia matumbo na afya mbovu fanyeni mazoezi.Shavu hinha kumbe ndani hoi
ReplyDeleteHizi jamaa kweli zinaishi Ulaya?Waliuvyojianika utafikirikiri kweli wamependeza kumbe wanaonekana kama doles,unene mwiiingi na glasses kama wazee.jamani vijana wadogo tuelimike.
ReplyDeleteUghaibuni kitumbo kitakutoka tu sababu upungufu wa physical activities kama kutembea. Pia kuokana na majukumu shule au kazi muda wa kupika hakuna hivyo utajikuta sometimes unakula hambaga kwenye fastfood. Mamtoni kwa umbo kijana wa mika 25 anaonekana 40 bongo lakini ukiangalia zaidi kwenye uchakavu especially sehemu za uso mtu wa miaka 20 bongo mamtoni anakuwa 50!
ReplyDeleteHawa ni wazawa wa kawaida kabisa mmojawapo namfahamu mtu poa tu so wacha wafurahie maisha.
Asante kwa whoever answer my question, of course I know as handsome as he is,he has a girl besides him.I was just satisty my curiosity, which you help me do.
ReplyDeleteCheers, Chaggalady.
Acha visingizio vya shule na kazi nakukosa shughuli za kijamii,fast food hizo kuingia rahisi kuzitoa shughuli hakuna raha ya kufurahia maisha wakati unaumwa.Vijana wa leo mnadanganyana kwamba mambo safi kwasababu mshikaji ana tumbo na shavu za hamira,akiwa I.C.U mnakutana nje na kuelezana Duh mwanangu hii noma mazoezi muhimu sio utani.Mimi naanza kesho asubuhi,siku mbili tatu mazoezi kitu gani,Ulabu,mkate na nyama,A.C ya Kumwaga,ukituma picha Afrika roho kwatu,fanyeni hata mazoezi ya tumbo Apt zina sehemu ya mazoezi Dakika 15 zinakutoa.Poleni sana
ReplyDeleteChei chei uncle Abe Salam toka kwa mwanao ERICA je wamkumbuka UK.Anakutakia likizizo njema na furaha tele. Mpe hi wajina wake ambae ni mamako bila kumsahau babake Jeff
ReplyDelete