KONYAGI new posters na new modozi wako tayari.Hizi ni Konyagi posters kwa wadau kujitumbuiza...
Sneak preview!!
Konyagi iko ready kushindana na vinywaji vya usa..
Samahani, sikumpata miss tanzania..
KONYAGI NI BIDHAA PEKEE KUTOKA TANZANIA INAYOUZWA USA..
KONYAGI IS THE ONLY ALCOHOLIC BEVERAGE FROM EAST AFRICA IN USA..TANZANIANS BE PROUD!!
Kama umesahau au hukujua
Unaweza kununua Konyagi online kwa $5.99 popote ulipo duniani.
Nenda
Jamani tuijenge nchi yetu!!!
Umoja ni nguvu
Julius Temu
Julius Imports
11222 South
LaCienega Blvd
STE 620
Inglewood,
CA 90304
USA
Mobile:310-717-8685
Mbona Summer ni almost over? Au mnaongelea Summer ya 2009?
ReplyDeletemie sikujua Konyagi ni kinywaji cha Summer! lol
ReplyDeleteAcha slogan za kimarangu wewe atii
ReplyDeleteJamani tuijenge nchi yetu!!!
Umoja ni nguvu
with konyagi r u sure?
KWANINI WATU WANA WIVU KAMA HIVI..
ReplyDeleteWATANZANIA LAZIMA TUACHE HIYO TABIA. SASA WEWE UNAKASIRIKA KWASABABU UNAKAA KWENYE SOFA BILA KAZI NA BIASHARA...
WIVU UTAKUWEKA KWENYE UMASIKINI..
KILA UKIONA MTU ANAFANYA KITU POSITIVE BASI.. UNAHARAKISHA NA MAONI YAKO..
HAMNA MTU ANAYOTAKA MAONI YAKO.
OPINIONS ARE LIKE ASSHOLES , EVERYBODY GOT ONE.
DON'T HATE THE PLAYER HATE THE GAME.
IF SOMEBODY IS DOING WHAT YOU CAN'T DO, CONGRATULATE.. DON'T HATE.
FOCUS ON GETTING YOURS..
ACHA UBISHOO NA FANYA KAZI KWA BIDII...
THINK BIG..
KWANINI WABONGO WANA HII TABIA YA KIMALAYA.. BITCHASSNESS
DON'T HATE BECAUSE YOUR BROTHER OR SISTER IS DOING BETTER.
DON'T HATE BECAUSE SOMEBODY IS A MODEL AND YOU ARE FAT
DON'T HATE BECAUSE SOMEBODY HAVE A BUSINESS AND YOU ARE STILL DOING SECURITY OR WORKING IN THE MALL
WORK HARD..
BY THE WAY ASK FOR A BETTER JOB..
NAFIKIRI KONYAGI USA IS HIRING
WEWE ANONYMOUS ULIYETOA MAONI YAKO August 07, 2008 7:37 PM
ReplyDeleteNINGEKUWA NAKUFAHAMU NINGEKUPA ZAWADI, MAONI YAKO YANAJITOSHELEZA.
JULIUS TEMU, ONGEZA BIDII KIJANA; UKIWEZA AGIZA NA MBEGE KABISA. WHY NOT.!!
wewe anon 7.37,si ungeandika kiswahili,hiyo'dont hate because somebody HAVE a business'huyu mwalimu aliyekufundisha english anastahili kupelekwa court-martial
ReplyDeleteSOAMES na Mtoa maoni wa August 07, 2008 7:37 PM
ReplyDeleteMnatakiwa kuelewa biashara yoyote hufanikiwa kwa kukosolewa pia....msikurupuke tu kutukana watu...I would advise you to take those comments to make your business better...msiogope criticism....
Asante.
Wewe anonymous wa saa 7:37 kuwa mwangalifu na Soames hasikufahamu maana anatoa nyuma kama mwendawazimu na ninahuhakika ndo mchezo anataka kukuletea, nimeshamsitukia unless ndo zako pia. Mimi sitarudi humu hivyo huna haja ya kutukana.
ReplyDeleteto be honest mie macho yalielekea moja kwa moja kwenye mapaja ya huyo demu, then yakapanda hadi kifuani. alafu........
ReplyDeletewewe je?