shaggy akiwasili hoteli ya kilimanjaro kempinski baada ya kutua dar jioni hii tayari kwa shoo moja tu kesho leaders club


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Ebu cheki vumbi lilivyojaa kwenye viatu vya wabongo hapo kwenye picha ya kwanza..

    Bongo bwana ni tambarrarrree mno..

    ReplyDelete
  2. duh..huyu jamaa bado ni mwanamuziki?Mbona hapa Marekani ni kama vile ameshasahaulika kabisa!

    ReplyDelete
  3. Kuna watu ambao pale wabongo wanapofanya mambo fulani huwa wanakosoa. sasa hapo namuona shagy kavaa Koti na hata huyo john legend kavaa jacket wakati bongo nadhani kuna joto. so nawasubiri wachongaji wanasemaje maana ndugu zetu wakifanya du wanauliwa kishenzi!!

    yote maisha tu, tusiwaone wale walio home kama wapuuzi kwani nao wanafanya kulingana na mazingira yalivyo kwani hata masai nasikia dawa ya meno kwao huliwa kama mlo, so msishangae.

    G7
    UK

    ReplyDelete
  4. Anonymous said.
    August 07, 2008 8:57 PM


    JIBU UNALO NI MAREKANI NA HAPA NI TANZANIA!

    ReplyDelete
  5. G7 Humo alipofikia ni full kiyoyozi 16 celcius, halafu kwa sasa bongo ni baridi we uliza

    ReplyDelete
  6. G7 Humo alipofikia ni full kiyoyozi 16 celcius, halafu kwa sasa bongo ni baridi we uliza

    ReplyDelete
  7. Michu,
    hivi macheki-bob waliokuwa ma-basketiballer siku hizi ni ma-bodigadi wa wanamuziki wa nje?

    Maana ktk picha nyingi nawaona hawa wachezaji na ma-bob wa DSM wakiwa kama wapambe.

    Mdau
    London

    ReplyDelete
  8. Kuna kitu kimoja lazima mjue wakati hapa summer kule ni winter sasa hivi Tz ni winter (not for me though) na mikoani i heard ndio sio mchezo. so usishangae kuona mtu kavaa koti kama umeona pich aza rais wako ziarani na una uelewa kidogo unaweza kugundua.

    Londoner

    ReplyDelete
  9. vumbi sio vumbi yote poa bongo wanakula sio vya barafu kama huko uliko kuvaa makoti poa ndani ya kimpiski baridi usijali mshirika

    ReplyDelete
  10. Dude is a sell out. Only in Bongo sell outs are still celebrities

    ReplyDelete
  11. hahah wamenifurahisha sana hao mabaunsa wa kizaramo wako very serious kama makamanda wa kweli wabongo wanajua ku act si kitoto,,,
    huyo john legend ndio nani,,,simjui

    ReplyDelete
  12. WEWE G7 Kumbe umepitwa sanawewe hayo kuwatisha mbu ,Mbu wakiona tu wanatoka baruti.Hayoni kinga ya malaria

    ReplyDelete
  13. Mbona hujampiga picha dreva Wakawaka ,je safari hii hakuendesha?

    ReplyDelete
  14. Anonymous wa August 07, 2008 8:57 PM
    "kasahaulika Marekani", but
    I bet hujawahi na huna uwezo wa kuingia show yake wala ya mwanamuziki yoyote wa marekani. Labda wabongo wakija huko!!tehehehehhe
    Chonga utakavyo!!!
    lakini ukweli ni kuwa wabongo tuna enjoy sana hizi show.
    by the way, hata mimi nipo nje ya bongo, ila natamani ningekua bongo, maana lazma ningehudhuria!!!
    Nimemiss sana home
    I hate wasema ovyo,wanaoponda kila kitu cha bongo!!

    BONGO TAMBARARE BWANA

    ReplyDelete
  15. Shaggy bado bongo analetwa kwa shoo na watu wanalipa kiingilio???***Bongo kweli tambarareeee!Halafu yupo peke yake nini? Bongo kweli pesa ya bureeee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...