Home
Unlabelled
shaggy atua dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ebu cheki vumbi lilivyojaa kwenye viatu vya wabongo hapo kwenye picha ya kwanza..
ReplyDeleteBongo bwana ni tambarrarrree mno..
duh..huyu jamaa bado ni mwanamuziki?Mbona hapa Marekani ni kama vile ameshasahaulika kabisa!
ReplyDeleteKuna watu ambao pale wabongo wanapofanya mambo fulani huwa wanakosoa. sasa hapo namuona shagy kavaa Koti na hata huyo john legend kavaa jacket wakati bongo nadhani kuna joto. so nawasubiri wachongaji wanasemaje maana ndugu zetu wakifanya du wanauliwa kishenzi!!
ReplyDeleteyote maisha tu, tusiwaone wale walio home kama wapuuzi kwani nao wanafanya kulingana na mazingira yalivyo kwani hata masai nasikia dawa ya meno kwao huliwa kama mlo, so msishangae.
G7
UK
Anonymous said.
ReplyDeleteAugust 07, 2008 8:57 PM
JIBU UNALO NI MAREKANI NA HAPA NI TANZANIA!
G7 Humo alipofikia ni full kiyoyozi 16 celcius, halafu kwa sasa bongo ni baridi we uliza
ReplyDeleteG7 Humo alipofikia ni full kiyoyozi 16 celcius, halafu kwa sasa bongo ni baridi we uliza
ReplyDeleteMichu,
ReplyDeletehivi macheki-bob waliokuwa ma-basketiballer siku hizi ni ma-bodigadi wa wanamuziki wa nje?
Maana ktk picha nyingi nawaona hawa wachezaji na ma-bob wa DSM wakiwa kama wapambe.
Mdau
London
Kuna kitu kimoja lazima mjue wakati hapa summer kule ni winter sasa hivi Tz ni winter (not for me though) na mikoani i heard ndio sio mchezo. so usishangae kuona mtu kavaa koti kama umeona pich aza rais wako ziarani na una uelewa kidogo unaweza kugundua.
ReplyDeleteLondoner
vumbi sio vumbi yote poa bongo wanakula sio vya barafu kama huko uliko kuvaa makoti poa ndani ya kimpiski baridi usijali mshirika
ReplyDeleteDude is a sell out. Only in Bongo sell outs are still celebrities
ReplyDeletehahah wamenifurahisha sana hao mabaunsa wa kizaramo wako very serious kama makamanda wa kweli wabongo wanajua ku act si kitoto,,,
ReplyDeletehuyo john legend ndio nani,,,simjui
WEWE G7 Kumbe umepitwa sanawewe hayo kuwatisha mbu ,Mbu wakiona tu wanatoka baruti.Hayoni kinga ya malaria
ReplyDeleteMbona hujampiga picha dreva Wakawaka ,je safari hii hakuendesha?
ReplyDeleteAnonymous wa August 07, 2008 8:57 PM
ReplyDelete"kasahaulika Marekani", but
I bet hujawahi na huna uwezo wa kuingia show yake wala ya mwanamuziki yoyote wa marekani. Labda wabongo wakija huko!!tehehehehhe
Chonga utakavyo!!!
lakini ukweli ni kuwa wabongo tuna enjoy sana hizi show.
by the way, hata mimi nipo nje ya bongo, ila natamani ningekua bongo, maana lazma ningehudhuria!!!
Nimemiss sana home
I hate wasema ovyo,wanaoponda kila kitu cha bongo!!
BONGO TAMBARARE BWANA
Shaggy bado bongo analetwa kwa shoo na watu wanalipa kiingilio???***Bongo kweli tambarareeee!Halafu yupo peke yake nini? Bongo kweli pesa ya bureeee!
ReplyDelete