Home
Unlabelled
waandishi wetu watua beijing
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona wanaonekana kama hawana raha?
ReplyDeleteHa ha ha wewe Tuplionyu mchokozi IoI
ReplyDeleteLondoner
Ha ha ha wewe Tuplionyu mchokozi IoI
ReplyDeleteLondoner
Mbona hujatuonyesha na wabongo wanaoshiriki huko kwenye olympic tuwafahamu na kuwapa baraka zetu...They need a dust vibe kabla hawajaanza hayo mashindano
ReplyDeletekama kuna mtu ana contact za Juma Nkamia au anafahamu ni jinsi gani naweza kupata mawasiliano nae tafadhali naomba uniambie nikutafuteje.Ni rafiki wangu tulieopoteana miaka mingi kabla hajawa mtangazaji RTD.THANKS
ReplyDeleteNaangalia parade hapa kundi letu Tanzania limepita ni dogo jamani hivi hakuna wanamichezo Tz these days kama nchi nyingine zina watu wana 14 yrs old sisi tunashindwa nini kagroup kadogoo wakati wenzetu wna watu mpaka 200+ alafu i saw saw somewhere kwenye blog prez anapata kombe kwa akuendeleza michezo IoI Tumepata medali ngapi already? ikumbukwe michezo sio soccer tuu ambalo pia hatuwezi!! kuna mikakati gani ya kuja next olympic hapa London baada ya World Cup Kule South Africa, kama hapa wameanza mipango edelevu katika mashule na centre zote na community maana watakuwa host and they want to have a huge team an kupata medali nyingi sisi tunafanya nini so far?
ReplyDeletenimeangalia wawakilishi wetu olimpiki, maandamano ya kuingia uwanjani.. jamani hapo ndio pa kuneshavazi la taifa alkini wametinga tshet za njano! wanyarwanda na warundi walikuwa bomba kichizi, sie mmmmh
ReplyDeleteWhat a surprise to see Steven a childhood friend who preferred to be called Texas. Between us and another friend (George Karras) we read all James Hadley Chase novels ever published. As young teenagers life was brimming with fun and then guess what, the world started spinning around and we lost each and the next thing I see him he is in Beijing - I only hope George was in Athens four years ago.
ReplyDeleteThanks to the blog for bringing back old memories and apology for other bloggers who may have to read such a long and boring personal message. Michuzi please pass my contacts on to Texas.
haha...teheteheee.... idadi ya waandishi sawa na idadi ya wanamichezo. Kila mtu na mtuwe.........
ReplyDelete