Home
Unlabelled
bwawa la kwela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli maisha yanakwenda. Lakini wansema ukishakuwa exposed kwenye too much I guess ni good backteria hamana shida tena.
ReplyDeleteHapo patamu atokee mtu ambaye anakunywa maji yaliyochemshwa na kuwa filtered kila siku. Immune zake zitakua haziko strong kama haoa hapo.... but all in all haya ndio mambo yangetakiwa kupewa kipaumbele katika bahect ya serikali.Visima , mabomba, hospital etc etc
bongo bado tunatakiwa kujitahidi.
ReplyDeletekiongozi wa mtaa angeweka taratibu wa utumiaji mto huo,uwe safi na kuepusha maradhi ya matumbo
cholera.diarhea.schistomiasis(bilhazia,kichocho)minyoo,malaria,ni rahisi kupatikana katika maeneo hayo,hivyo viongozi walione hili ili wabhibiti badala ya kuagizia chango ambazo zinauwa watu na njia rahisi ya kudhibiti maradhi hayo yapo.