Kaka michuzi kwanza hongera kwa kupewa ubalozi wa Zain.


Juzi nilikuwa Sumbawanga na nikatembela jimbo la kwela ambako kuna hili bwawa naomba uitundike kwenye blog yetu ya jamii. hapo ni binadamu na mifugo....maisha yanakwenda

Mdau Meshack c.Maganga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kweli maisha yanakwenda. Lakini wansema ukishakuwa exposed kwenye too much I guess ni good backteria hamana shida tena.

    Hapo patamu atokee mtu ambaye anakunywa maji yaliyochemshwa na kuwa filtered kila siku. Immune zake zitakua haziko strong kama haoa hapo.... but all in all haya ndio mambo yangetakiwa kupewa kipaumbele katika bahect ya serikali.Visima , mabomba, hospital etc etc

    ReplyDelete
  2. bongo bado tunatakiwa kujitahidi.
    kiongozi wa mtaa angeweka taratibu wa utumiaji mto huo,uwe safi na kuepusha maradhi ya matumbo

    cholera.diarhea.schistomiasis(bilhazia,kichocho)minyoo,malaria,ni rahisi kupatikana katika maeneo hayo,hivyo viongozi walione hili ili wabhibiti badala ya kuagizia chango ambazo zinauwa watu na njia rahisi ya kudhibiti maradhi hayo yapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...