Mwana bulogu, kama una picha ambayo unaweza kuiita ni picha yako ya wiki unaweza kututumia ili tuweze kuipamba kwenye jarida letu kila wiki.


Toleo la nne la kijarida cha "Cheche za Fikra" liko mitaani na kwenye mtandao. Jipatie nakala yako kwenye


sehemu ya "Pics and Docs".


Ndani yake kuna habari kuhusu mauaji ya Albino, Hoja ya Mwanakijiji, vigogo wa ufisadi, maadili ya picha (hasa mambo yanayoendelea kwenye mitandao n.k Usikose pia nguvu za hoja!

Mhariri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kulaani hakutoshi, inabidi kulaani kwa vitendo. Serikali imekaa kimya, sijaona chochote kinachofanyika kuwamaliza hao wanyama watu wanaoua maalbino.

    ReplyDelete
  2. lakini sisi waafrika tuna yetu yasiona maana kabisa kama hili la waCongo kufunga mbuzi jela mi hoi...kongoli hapo http://news.bbc.co.uk/go/em/fr/-/2/hi/africa/7607460.stm

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...