








Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Heshima kwako Kaka.
ReplyDeleteNimekuwa nikichukua picha na zinatoka na "uweusi" kama huu hasa ninapopiga subject ambayo imetawaliwa na weupe. Na naona kwenye picha zako za leo ni yaleyale (maana kunamoja kama usingetabasamu sijui kama tungekuona. Just joking). Sasa swali ni kuwa ni vipi naweza kuepukana na hii hali kama yaepukika ama ni tactic gani unayozweza kutumia kuepusha weusi wa namna hii?
Ni libeneke la darasa kiaina.
Blessings Brother
mbona hatuwaoni akina lipumba, maalim sefu na waislamu wengine wa vyama vya upinzani kwenye futari hizi? uislamu hauruhusu kufuturu na wapinzani?
ReplyDeletewewe anon sept 30, 2008 11:01 am
ReplyDeletehivi wewe ni mfuatiliaji mzuri wa hii blog?
Muombe Michuzi akupe kumbukumbu ya picha za mwaka ramadhan mwaka jana.
Wengine comment zenu kama vile mmeamka tu toka usingizini.
GONZAGA + ISAAC KASSANGA = ATAPONA MTU APO ETI EASY FINANCE TEH TEH TEH
ReplyDeleteMDAU HAPO JUU UMESEMA, NGOJA GONZAGA ATOA SADAKA YAKE MAANA NDIO HIVYO TENA??????????? NI MILIONEA LAKINI NDIO HIVYO TENA MUOGOPE KWANI-------,
ReplyDeleteAnnon 12:08am na Annon 10:02pm..... Nawaomba mfanunue postings zenu kwa niaba ya wana-globu hii ya jamii. Nasubiri ufafanuzi wenu kwa hamu!
ReplyDeleteUfafanuzi wa kazi gani kwako?
ReplyDeletemchuzi kubana watu tutatoa ufafanuzi....
ReplyDelete