mwenyekiti wa chama tawala cha sauzi mh. jacob zuma akipokewa leo na makamu mwenyekiti wa ccm (bara) mh. pius msekwa alipotua kuanza ziara ya siku tatu nchini kwa mwaliko wa ccm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Aulete Umshini wami
    Umshini wamix2
    Umshini wami eeh baba eeh wena uyanimbambezea.

    karibu sana jacob zuma jisikie nyumbani.

    ReplyDelete
  2. Politics of the Belly!Kosa Sura upate Bahati!Zoom zoom nyuki lia weee!......nenda mbali kutafuta Ua zuri la asali...zoom zoom nyuki lia weeeeh!

    ReplyDelete
  3. Huyo Mzee Zuma amekuja Dar kukutana na vigogo wa CCM kujifunza mbinu wanazotumia na kufanikiwa kuuwa shutuma za rushwa, wizi na ufisadi ili na yeye ajikwamue katika kesi nzito zinazomkabili. Amesikia mchezo wa EPA,Kiwira na Richmond unavyochezwa Bongo na kuiskia viongozi wanavyoombwa kurudisha walivyoiba katika muda wanaotaka badala ya kushtakiwa na kufungwa.

    ReplyDelete
  4. THE NEXT PRESIDENT OF S.AFRICA (ZUMA)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...