Presidaa wa chama cha mpira wa kikabu bongo Richard Kasesela akiwa na kamishna wa National Basketball Assocaition (NBA) David Stein walipokutana huko newala majuzi. Chini alipotembelea maonesho ya kale ya minnesota ambako akiwa mbele ya gari iliyoundwa mwaka 1863. anasema gari bado iko fiti kama imetoka jana vile, akitoa rai kwamba iko haja mbinu ya kutunza kumbukumbu kama hizi iigwe ili kuhifadhi magari kama yale aliyowahi kutumia mwalimu nyerere yaliyoko makumbusho ya taifa dar


HUYU SI NDIYO ALIWAHI KUTUAMBIA KAKUTANA SIJUI NA DIKEMBE MUTOMBO NA HUYO DIKEMBE AKAMWAHIDI ANGEMSAIDIA,OOPS! ANGEISAIDIA TANZANIA KWENYE BASKETBALL, KIKO WAPI?
ReplyDeleteULIPOAMBIWA UKWELI ULIKUJA JUU NA MATUSI..WE NEED RESULTS NA SIYO KUJITANGAZA NA HIZO PICHA.....
Bibo kwa misifa bado hujaacha tuu. Just a joke man......
ReplyDeleteJobaka yuko wapi nilitegemea agombee umoja wa vijana kwani dogo na peni zake kadhaa na shati za mikono mirefu enzi hizo...... watu walikuwa wanamjua Regent.
Otherwise endeleza libeneke mkuu
Mkongwe wa Linwisi
Michuzi,
ReplyDeleteNadhani hiyo gari ni mwundo wa mwaka 1963. Magari ya mwanzo kufikia mwaka 1919 yalikuwa ya wazi kama vile mikokoteni iliyobururwa na farasi.
Hivi huyu Richard au almaarufu kama "Bibo Boy", hivi ni lini ataacha mambo ya kujishebedua? Kwani akienda ulaya ni lazima tupewe taarifa kupitia Blog kwamba yuko Bibo yuko ulaya? Richard Please, Hebu kuwa mkubwa kidogo angalau. Naomba usiniambie na yeye pia mnamuita "Celebrity", Ha ha ha !!!!
ReplyDeleteAnon wa pili huyu jamaa yako mtoto wa Regent ana uhusiano na jamaa mmoja nadhani alikuwa anaitwa robert kasesela?Naye(robert) alikuwa anakaa maeneo ya Regent.Nakumbuka huyo (robert) alikuwa mlevi kinoma pia mkorofi.Alikuwa anakuja mikocheni uswahilini sana.Robert kapotelea wapi?
ReplyDeleteKabila mu...yani.... sifa nani kakwambia wanacha mpaka siku ya kaburi
ReplyDeleteNakumbuka Bibo alivyomuacha prezida wa UDASA na kujifanya yeye ni prezida na kuiwakilisha UDASA China.
ReplyDeleteWakati huo Kikwete waziri wa mambo ya nje na mzee wa regent ndie aliemuunganishia masuala yote.
Jobaka yuko wapi mazee.
Nilitegemea angekuwa mwanasiasa kutokana na hoja zake enzi zile....
Mzee wa kijiwe cha kizota regent.
KWA TAARIFA TU:
ReplyDeleteGARI YA KWANZA DUNIANI ILITENGENEZWA MWAKA 1894.
Watanzania msipewe taarifa mhhh? mwacheni rais wetu wa TBF, mbona NBA players wamekuja Tanzania hivi majuzi, tume sikia marekani kusaidia Tanzania... Tanzania imepata mipira 100, mashindano ya Taifa yanadhaminiwa na Barrick mnataka niniiiii mwacheni kijana wa Regent, Tanzania ngumu viongozi wa michezo wanajitahidi..
ReplyDeleteMoses Gunda yupo wapi? na wakumbuka enzi za mlimani duuhh kaka hujakuwa tuuu
ReplyDeleteThe first car, if by car one means a self propelled vehicle, was invented in 1769 in France by Nicolas Cugnot; it was three-wheeled and powered by steam. The first electricity driven car was invented by Robert Anderson in the 1830s in Scotland; the invention was further improved by the American Thomas Davenport (1842).
ReplyDeleteThe first gas powered car was invented in 1885 by Gottlieb Daimler; also in 1885 Karl Benz built the Benz Motorwagen with an internal combustion engine closely resembling the modern day automobile. Both the vehicles could be said to be the prototypes of the modern day vehicle, in fact Daimler built the World's first four wheeled vehicle, the Cannstatt-Diamler, which ran on a four stroke engine and can be regarded as the first car in the true sense of the word.
Both the steam powered and the electric driven vehicles could not withstand the competition from the gas powered ones and eventually disappeared from the scene. The final impetus for the gas powered vehicles was given when Henry Ford started manufacturing Model cars using an assembly line in the United States in 1913.
Patrick "Magazeti",
ReplyDeleteBibo sasa ni wakati tujenge in door and tuazishe tourment ya kuwakumbuka wazee wa chama jamani wazee walikuwa "pillars to our success and motivation"