Ndugu wapendwa,tuna masikitiko kuwatangazaia misa ya mazishi ya baba mzazi wa Chacha Mwihechi 'MC' itakayofanyika
26A STOCKTON ROAD,
READING,RG2 8AH,
off Northamberland Avenue.
Jumatano,tarehe 17.9.2008,
saa nne asubuhi.
Tafadhali wajulishe na wengine.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Maira B Migire,
simu 07799212095


Poleni sana wafiwa.R.I.P Mwihechi?(Tungeomba jina kamili la marehemu mzee wetu)
ReplyDeleteasanteni, leo asubuhi tumetua mwanza kwa atc, na tuko njiani kwenda tarime kwa mazishi
ReplyDeletepoleni lakini mbona jina la marehemu hamjatuambia?
ReplyDeletemura weito pole sana, naelewa huu ni wakati mgumu kwako, jipe moyo kwani tupo pamoja ktk sala.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema, Amen.
Poleni sana familia ya mzee Mwihechi wote mlioko Dar-Es-Salaam, Tarime, Uingereza na pengine pote. Mungu amlaze mahali pema peponi mzee Mwihechi. Sisi familia ya mzee Wilson Kiguha Chacha wote kutoka Tarime, Dar-Es-Salaam, Mwanza, USA, UK na Canada tupo pamoja nanyi kimaombi hasa katika hiki kipindi kigumu cha majonzi. Na pia awape roho ya uvumilivu hasa katika kipindi hiki kigumu. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe.
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema peponi. Amen