February 2005: hapa ni maeneo ya chalinze ambako JK akiwa kama mbunge na waziri wa mambo ya nje alikwenda kujionea mafuriko yaliyotokea jimboni kwake na kutoa pole. nyuma ya mkuu wa wilaya ya nanihii ni hayati jimmy elias enzi za uhai wake na nyuma yake ni mpiganaji richard mwaikenda. picha hii imeombwa na wadau wapiganaji wenzetu kama ishara ya kumuenzi na kumkumbuka mpiganaji jimmy elias aliyuefariki agosti 7 mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Ndiyo maana mara vacation Sudan, mara UK; ama kweli waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba! Kumbe JK ni mshikaji wako longtime ago.

    ReplyDelete
  2. Dah braza sikujua kuwa weye ni memba wa mneli naona unaupuliza hapo traatiiib mpaka harufu naisikia ikitoka ktk globu, nshachanganyikiwa hapa mkuu ngoja namimi niwashe yangu

    ReplyDelete
  3. GOOD FRIENDS TAKE CARE OF EACH OTHER I CAN SEE YOU AND JK.

    ReplyDelete
  4. Mheshimiwa Ambasadaa na Mkuu wa wilaya ya nanihii nakupa heko zako kwa kuwa upo mstari wa mbele kuunga mkono bidhaa za asili? Naona Unapat a ile ki2 mtaani kwetu wanaita "SONYO" duh hii kali. Sasa mbona wengine wapo kwenye mtumbwi na wengine kwenye maji au mlikuwa mna act Filamu?

    ReplyDelete
  5. Mimi nilishapiga kazi za uvuvi, bila kupata kitu hauwezi kuusogeza mtumbwi maana kasia lenyewe tu lina kama kilo 40 hivi

    ReplyDelete
  6. thats why i love this man... he is so down to earth! and iam in love with him. guys if u can contact him tell him i want him. yes the president.

    ReplyDelete
  7. KUMBE UMETOKANAE MBALI, HATUTASHANGAA SIKU MOJA WEWE KUWA AMA WAZIRI AU KUPELEKWA NJE UKAWE BALOZI, NDO MAANA ULIKUWA SHABIKI MKUBWA WAKATI WA UCHAGUZI WA RAIS, WA-ARABU WA PEMBA HUJUWANA KWA VILEMBA, KUMBE WATU WAKIANDIKA HABARI ZA KUMPONDA KIKWETE WEWE UNATUCHEKA TU.

    ReplyDelete
  8. Jamani kweli mnaosoma hii blog wote watoto wa juzi. Jamani Michuzi wa long time huko daily news, hamkumbuki articles zake??? Ikulu siku yoyote huyo nyie subirini tu. Hivi Michuzi enzi zile ulipata tuzo ya nini tena miaka ya 1980s au 1990s maana toka hapo nilianza kuwa makini na habari zako.

    ReplyDelete
  9. Kweli Ndege wa Rangi Moja huruka Pamoja!?

    Haya Bwana Michuzi, Karibu sana Marekani JK Akiruka tena..

    ReplyDelete
  10. Mmmh! Haijambo,naona ilikuwa mzinga wa pikiniki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...