

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka michuzi William Uk yuko wapi mbona kelele kapiga kimya baada ya kulazwa na bwawa la maini naomba nitafutie please mwambie atumsikii kabisa
ReplyDeletekipofu kaona mwezi hatutalala ama kunyama(kama asemavo mpoki) mwaka mzima huu! mmeshasahau uteja wenu wa season tatu mfululizo! hayaa!!
ReplyDeletewandugu kweli ulaya kunaboa, ingawa michuzi hana mpya kila siku ... kujisifia, mara mkuu wa wilaya, libeneke......mara yupo vichakani anakunya..... lakini kila siku lazima nasoma pumba zake. nakasirika.... halafu nikipata fursa ya kutembelea mtandao nasoma tena. kazi kwelikweli, naona inabidi nijufunze kukufurahia tu pumba zako misupu.
ReplyDeleteKweli we faraja pasipo faraja.
Good to see u Harice! Long time. Safi sana kama unaendeleza kuwakilisha na Praise power Radio. Wapo wapi Anna, Ikupa?
ReplyDeleteMay God coninue to watch over you..Ni mimi Anony wa UK.
Kaka michuu eh hii ni veseni mpya ya ile T-shirti yetu tunayoipenda nini?
ReplyDeleteHARRIS KAPIGA? ULISOMA MWANDU PR SCHOOL,IGGN,SGD SIYO? IF YES NAOMBA NIPE MAIL YAKO.NI SCHOOL NA CLASS MATE WAKO,NA JIRANI YAKO PALE IGGN HOME PIA.SASA NAPIGA SHULE HAPA UTURUKI.TUWASILIANE.SAM
ReplyDeleteduh,,,michu tht t-shirt
ReplyDeleteila unalipa kaka???acha tu,,ramadhani huvaagi kanzu asa unapojianika apa???au kobe teh teh teeeh
big-up harris,,ila uemsii umeanza lini jaman
Anonymous said...
ReplyDeleteHARRIS KAPIGA? ULISOMA MWANDU PR SCHOOL,IGGN,SGD SIYO? IF YES NAOMBA NIPE MAIL YAKO.NI SCHOOL NA CLASS MATE WAKO,NA JIRANI YAKO PALE IGGN HOME PIA.SASA NAPIGA SHULE HAPA UTURUKI.TUWASILIANE.SAM
September 15, 2008 7:45 AM
Mzee nipo..tuwasiliane kupitia
alamazanyakati@gmail.com
Harris