mkuu wa wilaya ya nanihii ambaye pia ni mh. ambasadaa wa zain na pia mwakilishi mkazi wa bwawa la maini (kiboko cha mzee fegi... hahha!) nchini na msimamizi wa masuala na maendeleo ya libeneke (kulia) akipozi na mc harris kapiga kwenye mnuso fulani hivi karibuni hapa dar. zain, ambaye kikazi anaendeleza libeneke kituo cha praise power fm radio, ni mmoja wa ma-mc wanaokubalika sana dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kaka michuzi William Uk yuko wapi mbona kelele kapiga kimya baada ya kulazwa na bwawa la maini naomba nitafutie please mwambie atumsikii kabisa

    ReplyDelete
  2. kipofu kaona mwezi hatutalala ama kunyama(kama asemavo mpoki) mwaka mzima huu! mmeshasahau uteja wenu wa season tatu mfululizo! hayaa!!

    ReplyDelete
  3. wandugu kweli ulaya kunaboa, ingawa michuzi hana mpya kila siku ... kujisifia, mara mkuu wa wilaya, libeneke......mara yupo vichakani anakunya..... lakini kila siku lazima nasoma pumba zake. nakasirika.... halafu nikipata fursa ya kutembelea mtandao nasoma tena. kazi kwelikweli, naona inabidi nijufunze kukufurahia tu pumba zako misupu.
    Kweli we faraja pasipo faraja.

    ReplyDelete
  4. Good to see u Harice! Long time. Safi sana kama unaendeleza kuwakilisha na Praise power Radio. Wapo wapi Anna, Ikupa?
    May God coninue to watch over you..Ni mimi Anony wa UK.

    ReplyDelete
  5. Kaka michuu eh hii ni veseni mpya ya ile T-shirti yetu tunayoipenda nini?

    ReplyDelete
  6. HARRIS KAPIGA? ULISOMA MWANDU PR SCHOOL,IGGN,SGD SIYO? IF YES NAOMBA NIPE MAIL YAKO.NI SCHOOL NA CLASS MATE WAKO,NA JIRANI YAKO PALE IGGN HOME PIA.SASA NAPIGA SHULE HAPA UTURUKI.TUWASILIANE.SAM

    ReplyDelete
  7. duh,,,michu tht t-shirt
    ila unalipa kaka???acha tu,,ramadhani huvaagi kanzu asa unapojianika apa???au kobe teh teh teeeh
    big-up harris,,ila uemsii umeanza lini jaman

    ReplyDelete
  8. Anonymous said...
    HARRIS KAPIGA? ULISOMA MWANDU PR SCHOOL,IGGN,SGD SIYO? IF YES NAOMBA NIPE MAIL YAKO.NI SCHOOL NA CLASS MATE WAKO,NA JIRANI YAKO PALE IGGN HOME PIA.SASA NAPIGA SHULE HAPA UTURUKI.TUWASILIANE.SAM

    September 15, 2008 7:45 AM

    Mzee nipo..tuwasiliane kupitia

    alamazanyakati@gmail.com
    Harris

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...