mdau frank akiwa old trafford

Berbatov ndani ya nyumba na Manucho tunamkaribisha rasmi hivi karibuni.


Yaani fikiria Rooney, Tevez, Ronaldo, Berbatov wakiwa wote pamoja kuelekea langoni mwa wapinzani khaaa...


Nawashauri kushabikia timu isiyokupa ugonjwa ya moyo, maana utafurahia soka kila wakati ukiangalia kwa raha mstarehe burudani ikionyeshwa na mashetani wekundu!

Mani Yuu itawanyima usingizi wengi msimu huu!
Mdau Frank
-------------------------------------
Kaka Michu – Ramadhan Kareem.
Nataka nimkumbushe huyo mdau wa MAN U (Matajiri waliopata leo) kuwa na sisi Liverpool tunao BABEL, KUYT, GERRAD, KEANE, TORRES JAPOKUWA 50/50 KUWA FITI DAVID NGOG ( MIAKA 19 TU) ALBERT RIERA –
NA TUNAWANGOJEA ANFIELD KWA HAMU –
SIJUWI SAFARI HII REFA ATATOA TENA RED CARD?
YOU WILL NEVER WALK ALONE.
TOSTAO


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Michuzi mbona watu wakienda vijijini kwao hatuzioni picha wanazopiga?
    Au ndiyo ile ya mtakaa kwao? jamani utumwa si lazima ufungwe minyororo

    ReplyDelete
  2. Mbuyuuuuuu! Watu unajua niaajee...eeh! Man U....Unatisha mbuyuu,mambo vp lini unarudi Austaria?Uko juu kama garage ya Nikas

    ReplyDelete
  3. Mbuyuuuuuuuuu...unajua niaje.......eeh! Mambo ya Man U...Lini unarudi Australia.Upo juu kama garege ya Nikas

    ReplyDelete
  4. Hivi Kuna Baridi Kiasi Hicho Wakati Huu?

    ReplyDelete
  5. Kaka michuzi naona kuwa na mchezaji wa miaka midogo ni kitu ngeni sana kwenye timu yako mpaka umemtaja dogo ana miaka 19 simchezo.

    ReplyDelete
  6. katia nyama alikuwa chembambaaa, kweli hakuna mtu mwembamba duniani lol!!

    ReplyDelete
  7. franlie bwana, unapiga picha na uwanja mtupu, mimi nilijua umeenda kuangalia mechi kumbe umeenda kupiga picha na uwanja.
    celebrities wetu job true true

    ReplyDelete
  8. KAMA UNA MIAKA ZAIDI YA 20 NA UNASHIBIKIA NA MPENZI WA MAN U....NINA HAKIKA UMEANZA KUONA NA KUJUA KANDANDA UKUBWANI.POLE SANA NDUGU YANGU.

    ReplyDelete
  9. ushauri wa aina gani huo eti shabikia timu isiyokupa ugonjwa wa moyo. hivi ndiyo sababu una support man united? Na ama kweli yaliyosemwa asilimia 70 ya wapenzi wa united wako nje ya manchester na kati yao asilimia 90 hawakuwahi kufika manchester na wala kuona mechi zao live uwanjani. wapenzi wa united wengi ni kama wewe, hata hisia, uchungu na sababu kuu za kusupport united hamna zaidi ya kuwa ni mabingwa. siku wakiporomoka na nyinyi mnatafuta timu nyengine. Na wala usiseme haitatokea kuna timu tele zilizowahi kuwa mabingwa na leo ziko madaraja ya chini. wapenzi wao wa kweli bado wapo nao. kuna sababu nyingi za msingi za mtu ku support timu na ndio maana hata timu ndogo pia zina washabiki.

    ReplyDelete
  10. Timu nyingi za UK ni kampuni na zimejisajili kwenye masoko ya hisa, mtu yoyote mwenye mapesa anaweza kununua hisa kama vile tunavyonunua za kampuni ya BEER au SIGARA au OXGEN huko nyumbani, mara nyingi mtu yoyote anaruhusiwa kwenda uwanjani na kupiga picha zamani ilikuwa bure siku hizi unalipa pesa ni sehemu ya kitega uchumi ni kama utalii hivi, pia unaweza kupiga picha na wachezaji lakini unalipa kwa klabu ni sehemu ya chanzo cha mapato, mambo kama haya yanaweza kufanywa na SIMBA na YANGA kwani zina historia ndefu, watu wanaweza kwenda kwenye hizi klabu kwa kiingilio na kuonyeshwa historia ndefu za vilabu hivi na kuwa vyanzo vya pesa kwao, na wala si swala la washabiki tu ni mtu yoyote tu anaweza kwenda na kujionea kama timu za huku UK zinavyofanya.

    ReplyDelete
  11. huyu shabiki wa "MANURE" nadhani hata huyo LEGEND wao George Best hajui kastaafu lini.ukimuuliza hapa lazima atakupa jibu badae ili tu kwanza aka-google.hahaha

    Manure timu iko poa na wala hakuna jipya.Berbatov wont make any major differences kama jinsi timu ilivyokuwa last season.before next transfer window,i see it to be LFC,Manure and Chelsea.After January, Gunners and Man City will catch up slowly.

    "Reds 4 Life"

    ReplyDelete
  12. Jamani msimtoe roho na hayo mavazi..atakuwa alipiga hizo pix kipindi cha baridi sema tu kaamua kuziweka hapa leo.i hope hajachafua hali ya hewa na hizo pix..teh teh teh..wa2 wachokozi??!!!!!!

    ReplyDelete
  13. Mdau baada ya kumaliza kazi ya catering na wewe ukaona bora uwe naukumbusho wa uwanja wa O.T. Anyway kumbukumbu muhimu.

    ReplyDelete
  14. WEE MTO MAONI WA KWANZA UNAJIITA.. KAPETO... UNAROHO MBAYA, NA UNAELEKEA UNAWIVU.

    ReplyDelete
  15. MAN U MSITEGEMEE TENA KUWIN MWAKA HUU MSAHAU MPAKA 2020 tena labda

    ReplyDelete
  16. Duh kuna watu wanajifanya wanajuwa sana.Yaani mtu unakaa juu ya kiti chako na kutowa maoni yasiyo na kichwa wala mkia.Eti asilimia 70 na asilimia 90 ya wapenzi wa Man Utd blah blah. Hivi kuna ubaya na dhambi gani mtu aliye nje ya manchester,nje ya england hata yule ambaye hajawahi kwenda O.T kuangalia mechi asipende manchester utd?Mnadhani hizi timu zinapokwenda nje ya England kwa pre-season matches wanakuwa na lengo gani?Mimi ni mshabiki mkubwa wa ARSENAL na sioni kosa la mtu aliye nanjilinji kupenda timu yoyote ya england let alone europe.Watu kibao wanazaliwa na kuishi maisha yao yote mikoani wanapenda na kushabikia SIMBA na YANGA hawajawahi hata kununua gazeti kuona mchezaji gani anafanana vipi,hakuna anayesema chochote. ANON 7:49pm na UYOGA mnasikiliza football pundits na kusoma football forums kisha mnakuja hapa kutuletea maroroso yasiyokuwa na maana. f'k you bittches.

    ReplyDelete
  17. Mbigiri hata ukilia na kutukana still Arsenal watakosa top 4 mwaka huu.wee unadhani ukitukana ndio nitaacha kusema mtazamo wangu? kama jina lako lilivyo na akili zako ziko hivyo hivyo,ubongo mdogo kama mbigiri.

    "Reds 4 Life"

    ReplyDelete
  18. wewe unaejiita mbigiri umeshindwa kufahamu point alotowa huyo jamaa ulomkosowa. sitopoteza muda wangu kukuleza vizuri kwani huna ustaarabu kama inavyoonyesha sentensi yako ya mwisho. nashangaa michuzi ameruhusu maoni yako yalomalizikia na matusi kutokea katika blog yake! staarabika kijana!

    ReplyDelete
  19. kumbe wewe "uyoga'' ni LOOSERFOOL bora hata nisipigishane kelele na wewe maana kila mwaka mna ndoto za miaka ya 1980 lakini hakuna kitu tunachokiona.Juzi juzi mlitolewa kamasi na wabelgiji.Hamna mpango nyie mnanunua masalo mkitegemea mtashinda premiership.Subirini baada ya miezi miwili ndoto zenu zitakuwa kama za SPURS.FAT RAFA atatimuliwa muanze upya kama NEWCASTLE.Sisi tunajulikana kwa kupiga boli la mbinguni, na ushindi ni kama kawa.Jmosi mtapigwa zaidi ya mawili na hao wachovu wa manchester.hahahahahha

    ReplyDelete
  20. aisee kaka unavutia kweeeli...ila ata za kijijini kwenu zibandike apa

    jamanni nyie watu mbona mwapenda tukana ivi???

    ReplyDelete
  21. da!mr.michuzi,frank mtao nimepoteana naye siku nyingi sana-tumekutana huko nyasho primary-musoma town.kama una email yake au mawasiliano yoyote,mpe hi mwambie MR.SAMBA WILLIAM NYAGIRO anakutafuta.myEMAIL:snyagiro@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...