Ndugu wapendwa,
tuna masikitiko kuwatangazaia misa ya mazishi ya baba mzazi wa Chacha Mwihechi 'MC' itakayofanyika
26A STOCKTON ROAD,
READING,RG2 8AH,
off Northamberland Avenue.
Jumatano,tarehe 17.9.2008,
saa nne asubuhi.
Tafadhali wajulishe na wengine.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Maira B Migire,
simu 07799212095

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Poleni sana wafiwa.R.I.P Mwihechi?(Tungeomba jina kamili la marehemu mzee wetu)

    ReplyDelete
  2. asanteni, leo asubuhi tumetua mwanza kwa atc, na tuko njiani kwenda tarime kwa mazishi

    ReplyDelete
  3. poleni lakini mbona jina la marehemu hamjatuambia?

    ReplyDelete
  4. mura weito pole sana, naelewa huu ni wakati mgumu kwako, jipe moyo kwani tupo pamoja ktk sala.
    Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema, Amen.

    ReplyDelete
  5. Poleni sana familia ya mzee Mwihechi wote mlioko Dar-Es-Salaam, Tarime, Uingereza na pengine pote. Mungu amlaze mahali pema peponi mzee Mwihechi. Sisi familia ya mzee Wilson Kiguha Chacha wote kutoka Tarime, Dar-Es-Salaam, Mwanza, USA, UK na Canada tupo pamoja nanyi kimaombi hasa katika hiki kipindi kigumu cha majonzi. Na pia awape roho ya uvumilivu hasa katika kipindi hiki kigumu. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe.
    Mungu amlaze mahali pema peponi. Amen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...