Michu,
Hapa ni Rais Bush alipotembelea kambi ya timu ya marekani kwenye olimpiki huko china. hivi prezidaa wetu naye angefanya hivi ingekuwaje? Halafu mbona wanariadha hawaandamwi kwa kuvaa vichupi, wanaandamwa mamiss tu???
Mdau
Lushoto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. mungu nisamehe lakini ukweli rais wetu angekwenda lazima angewatamani na angetafuta contact zao. inabidi na wetu sasa aanze kujifunza kukaa na akina dada wakiwa nusu uchi.

    ReplyDelete
  2. Nusu uchu ni kitu cha kawaida kwa hawa watu. Hivi utamaduni wa nchi za joto ulikuwa kukaa nusu uchi siyo? Basi hawa wa nchi za baridi wakaiga na wakazoea nao kukaa nusu uchi nyakati za joto.

    ReplyDelete
  3. MMH MIE SIDHANI kama rais wetu anetamani ila magazeti yetu ya udaku ndio yangeandika mambo ya ajabu

    ReplyDelete
  4. JAMANI TUACHE UTUMWA! Kila jamii ina mila na desturi zake, hivyo raisi wetu tutamshangaa akimshika m/mke matako/kiuno kama alivyo fanya bushi. Pia tutamshangaa binti "abong'oe" hadharani ili aashikwe matako/kiuno na raisi. Tatitizo tunaona kila wanachofanya wazungu ndicho na tufanyacho cc wenyewe sicho, hili ni tatizo. Waswahili wanasema 'Asieye jithamini, hathaminiwi', tujithami waafrika tuthaminiwe.

    ReplyDelete
  5. Hii picha ya kwanza Bush anasema ngoja nikupanguse mchanga mamaa kiunoni umechafuka.

    Big Sam

    ReplyDelete
  6. rais wenu ni kwamba hafanyi hivyo au huwa anajificha akifanya hivyo? tuacheni unafiki sidhani kama kuna lijali lolote lile ambalo lisingependa kufanya hivyo.Yalimshinda adam hayo kwa eva sembuse nyie wanadamu wa kizazi hiki

    Mbega

    ReplyDelete
  7. Kuvaa hivyo jambo la kawaida kwa utamaduni wao.

    Nashangaa unasema wanariadha kuvaa hivi hawaandamwi lakini mamiss wanaandamwa. Mamiss wa bongo bongo lakini wa huku wala sio jambo la ajabu na hamna anayewasema hao mamiss.

    Na kwavile huku kuvaa hivyo ni jambo la kawaida akiondoka hapo kasahau kila kitu...mweee bongo mtu akiona hivyo mienzi atakuwa anamkumbuka tu huyo mwana wa watu

    ReplyDelete
  8. Tuache ujinga wa kuona kila kinachofanywa na wazungu ndio bora. Ukiona mzungu analawitiwa na wewe utalawitiwa?

    ReplyDelete
  9. Watu waliuliza kwa nini wanaume wameficha miili yao kuliko hao wanawake. Kwa kweli watu hawakufurahia nguo zao. Kama waligawana ngu moja! Khaa!

    Bush kichaa angeshika titi au kuingiza mkono kwenye hililichupi kama anageweza.

    ReplyDelete
  10. Bush is smacking thar-a$$, lol..

    ReplyDelete
  11. Duh..hii habari bwana ilikuwa ifuatavyo. Bush alienda kuwaona hawa wakicheza beach volleyball. Kama unafuatilia huu mchezo...kila point wakifunga...unamgusa/slap mwenzako kwenye kikalio...kama vile kumpa support/encouragement. Huyu demu alimwambia Bush naye amchape lakini bush akamgusa juu kiunoni maana alijua watu kama nyie mtaongelea sana. Its a different environment kutoka kwenye politics.
    Mimi ishu za ma-miss sijui kwa nini wanaongelewa sana wakivaa ivyo. Sasa sijui hayo mashindano ya u-miss wanatafuta nini kama wanataka wajifiche.
    Kuhusu michezo kuvaa ivi...hii kama nilivyosema ni beach vollyeball. Unavaa nguo za kuogelea ukiwa unacheza. Kama unaifuatilia utajua kuwa wakati mwingine hata wanaume wanacheza nusu uchi - yani wanavaa kaptula tu. Katika michezo unahitaji freedom of movement na comfortability...sasa mlitaka wavae kaptula au track-suit?

    ReplyDelete
  12. JK alimkumbatia yule Miss Utalii Ikulu (kikumbuki jina ), warembo walipo mtembelea , na ikawa ishu kwenye magazeti a udaku.

    Na najiuliza USA ilivyo na udaku na maneno mengi kwenye TV , mfano Bush angesimama Bungeni na kuongea methali ina yo fanana na tusi kama vile JK alivyo sema "Ukitaka kula shurti uliwe" na sisi tulio kaa na watu tunao heshimiana nao kuona aibu na kutaka kukimbia , je kina Bill o'reilly wange ongea kiasi gani?

    ReplyDelete
  13. Kwanza Hawana Mvuto hao hata Bush hashituki

    ReplyDelete
  14. Bahati alikuwa kavaa shati refu laa sivyo ingekuwa tafrani...


    Mdau, Bostoni.

    ReplyDelete
  15. nani kasema amestahimili?,kwa taarifa yenu alikuwa amechomekea huyo

    ReplyDelete
  16. hakuna jipya, huo ni sehemu ya utamaduni wao. JK angevumilia mboana alienda kwa Mswati na akashinda majaribu? halafu watoto wa bondeni si mchezo. hao hawana mvuto .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...