Home
Unlabelled
prezidaaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mungu nisamehe lakini ukweli rais wetu angekwenda lazima angewatamani na angetafuta contact zao. inabidi na wetu sasa aanze kujifunza kukaa na akina dada wakiwa nusu uchi.
ReplyDeleteNusu uchu ni kitu cha kawaida kwa hawa watu. Hivi utamaduni wa nchi za joto ulikuwa kukaa nusu uchi siyo? Basi hawa wa nchi za baridi wakaiga na wakazoea nao kukaa nusu uchi nyakati za joto.
ReplyDeleteMMH MIE SIDHANI kama rais wetu anetamani ila magazeti yetu ya udaku ndio yangeandika mambo ya ajabu
ReplyDeleteJAMANI TUACHE UTUMWA! Kila jamii ina mila na desturi zake, hivyo raisi wetu tutamshangaa akimshika m/mke matako/kiuno kama alivyo fanya bushi. Pia tutamshangaa binti "abong'oe" hadharani ili aashikwe matako/kiuno na raisi. Tatitizo tunaona kila wanachofanya wazungu ndicho na tufanyacho cc wenyewe sicho, hili ni tatizo. Waswahili wanasema 'Asieye jithamini, hathaminiwi', tujithami waafrika tuthaminiwe.
ReplyDeleteHii picha ya kwanza Bush anasema ngoja nikupanguse mchanga mamaa kiunoni umechafuka.
ReplyDeleteBig Sam
rais wenu ni kwamba hafanyi hivyo au huwa anajificha akifanya hivyo? tuacheni unafiki sidhani kama kuna lijali lolote lile ambalo lisingependa kufanya hivyo.Yalimshinda adam hayo kwa eva sembuse nyie wanadamu wa kizazi hiki
ReplyDeleteMbega
Kuvaa hivyo jambo la kawaida kwa utamaduni wao.
ReplyDeleteNashangaa unasema wanariadha kuvaa hivi hawaandamwi lakini mamiss wanaandamwa. Mamiss wa bongo bongo lakini wa huku wala sio jambo la ajabu na hamna anayewasema hao mamiss.
Na kwavile huku kuvaa hivyo ni jambo la kawaida akiondoka hapo kasahau kila kitu...mweee bongo mtu akiona hivyo mienzi atakuwa anamkumbuka tu huyo mwana wa watu
Tuache ujinga wa kuona kila kinachofanywa na wazungu ndio bora. Ukiona mzungu analawitiwa na wewe utalawitiwa?
ReplyDeleteWatu waliuliza kwa nini wanaume wameficha miili yao kuliko hao wanawake. Kwa kweli watu hawakufurahia nguo zao. Kama waligawana ngu moja! Khaa!
ReplyDeleteBush kichaa angeshika titi au kuingiza mkono kwenye hililichupi kama anageweza.
Bush is smacking thar-a$$, lol..
ReplyDeleteDuh..hii habari bwana ilikuwa ifuatavyo. Bush alienda kuwaona hawa wakicheza beach volleyball. Kama unafuatilia huu mchezo...kila point wakifunga...unamgusa/slap mwenzako kwenye kikalio...kama vile kumpa support/encouragement. Huyu demu alimwambia Bush naye amchape lakini bush akamgusa juu kiunoni maana alijua watu kama nyie mtaongelea sana. Its a different environment kutoka kwenye politics.
ReplyDeleteMimi ishu za ma-miss sijui kwa nini wanaongelewa sana wakivaa ivyo. Sasa sijui hayo mashindano ya u-miss wanatafuta nini kama wanataka wajifiche.
Kuhusu michezo kuvaa ivi...hii kama nilivyosema ni beach vollyeball. Unavaa nguo za kuogelea ukiwa unacheza. Kama unaifuatilia utajua kuwa wakati mwingine hata wanaume wanacheza nusu uchi - yani wanavaa kaptula tu. Katika michezo unahitaji freedom of movement na comfortability...sasa mlitaka wavae kaptula au track-suit?
JK alimkumbatia yule Miss Utalii Ikulu (kikumbuki jina ), warembo walipo mtembelea , na ikawa ishu kwenye magazeti a udaku.
ReplyDeleteNa najiuliza USA ilivyo na udaku na maneno mengi kwenye TV , mfano Bush angesimama Bungeni na kuongea methali ina yo fanana na tusi kama vile JK alivyo sema "Ukitaka kula shurti uliwe" na sisi tulio kaa na watu tunao heshimiana nao kuona aibu na kutaka kukimbia , je kina Bill o'reilly wange ongea kiasi gani?
Kwanza Hawana Mvuto hao hata Bush hashituki
ReplyDeleteBahati alikuwa kavaa shati refu laa sivyo ingekuwa tafrani...
ReplyDeleteMdau, Bostoni.
nani kasema amestahimili?,kwa taarifa yenu alikuwa amechomekea huyo
ReplyDeletehakuna jipya, huo ni sehemu ya utamaduni wao. JK angevumilia mboana alienda kwa Mswati na akashinda majaribu? halafu watoto wa bondeni si mchezo. hao hawana mvuto .
ReplyDelete