Meneja Mkuu wa AY&R Group, kampuni ambayo Silver Bullet ni sehemu yake, Belinda Buchner (katikati) akiweka saini mkataba baina ya Silver Bullet na NBC, mkataba ambao umeiteua rasmi kampuni hiyo kusimamia masuala ya mahusiano ya NBC. Kulia ni Mkuu wa Huduma za Wateja Wadogo Wadogo wa NBC (Head of Retail Banking) Johan Vermaas na kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Wateja wa Silver Bullet Jessica Kagendo.

Mbona mkataba anasaini dada peke yake? kawaida zinakuwa kopi mbili halafu wanabadilishana. Halafu huyo wa kulia na kushoto mbona wanamshangaa binti kati kati, hiyo event kabla ya kuita waandishi na kuipublish inabidi wajiandae vizuri, binti amepozi vizuri, lakini hao wawili kwa kawaida mikono ilitakiwa ikae mezani na tabasamu walau kidogo!!
ReplyDeleteUkion hivyo ujua kuna ufisadi umefanyika
ReplyDeleteWazungu kupenda kupeana. Hmmm. Hivi lini na sisi waswahili tutapendeleana na kupeana ma tender. Kazi kupigana vita tu. Ona sasa, tangu NBC iuzwe kwa ABSA, tender zote zinaenda kwa wazungu wenzao. Jamani...
ReplyDeleteWa South Africa kuwapa tenda wa South Africa, SIKU MOJA TUTACHOKA!!!!!!!!!!
ReplyDeleteTanzania tutaendelea kuwa masikini iwapo tutaendelea kuwa na viongozi wenye utaahira wa kifisadi.
ReplyDelete