picha ya pamoja ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu wanaotunzwa na tanzania mitindo house pamoja na wageni waliofika kwenye hafla ya kutimiza mwaka mmoja wa taasisi hiyo katika hoteli ya golden tulip jumapili ilopita
klynn akiwa na watoto yatima wanaotunzwa na tanzania mitindo house kwenye hiyo hafla
khadija mwanamboka, mwenyekiti wa tanzania mitindo house, taasisi inayojumuisha wabunifu wa mitindo katika kutoa huduma kwa jamii. mradi wao wa kwanza ni kutunza watoto yatima wapatao 50
Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akizungumza mbele ya wageni waalikwa kuhusiana na mfuko huo wa Vodacom ambavyo umekuwa ukisaidia kwa kiasi kikubwa katika shughuli mbalimali za jamii. Aidha, Mwamvita alisema kuwa inadhamiria kujenga nyumba nyingine mbali ya Tanzania Mitindo House itakayokuwa na thamani ya shilingi milioni 67 za kitanzania kwa ajili ya watoto hao Yatima na waishio katika mazingira magumu
Bw. Joseph Shieffir kutoka kampuni ya Ernest&Young akipeana mkono na mwenyekiti wa Tanzania Mitindo House Khadija Mwanamboka huku mgeni rasmi Bw.Richard Kasesera akishuhudia,Bw.Joseph aliinunua fulana pichani iliobuniwa na mbunifu wa mavazi Khadija Mwanamboka kwa kiasi cha shilingi milioni 3 na laki 4. Pesa hizo zinakwenda kusaidia watoto wanaolelewa na kituo cha Tanzania Mitindo House

Keep it up Khadija May God Bless you!
ReplyDeleteKynn toa hizo nywele low cut was nice on you!!
ReplyDeleteRegina unamwona Joseph Sheffu?....you thought asingetoka?...unaona sasa umebakia kula wasichana wenzio!
ReplyDeleteRegina gani we anon wa 2:12 PM, be specific
ReplyDeleteahahhaha mdau namba tatu umenichekesha sana hapo hilo tatizo la dada yetu sio maswala ya pesa wewewe..... hizo ni laaana!! Kila siku kila dakika muombe Mungu akuepushie laana hizo kwako na kwa ukoo wako.
ReplyDeleteNawapa hongera kwa hili ila ninachoomba Mungu kila siku ni jinsi gani tutaanza kuwaelimisha wabongo umuhimu wa kuadopt watoto...Tungekuwa tunajua hili hizi gharama si tungeshift kwenye mambo mengine?
ReplyDeleteHizi nyumba ni nzuri sana lakini mimi naona zingekuwa the last options...Mtoto anayekuzwa kwenye family enviroment na watoto wanaotunzwa kwenye hizi group homes up bringing yao ni tofauti sana.
Tujifunze kuadopt watoto tena wale tusio wajua...nakuja bongo kuchukua mtoto mwezi wa Dec ...lakini ninachobishana na mama yangu ni kuwa ananitafutia mtoto wa uncle na aunt ambao hao wadogo zake wote kila siku watoto wao karibu wote ni wako nyumbani kwa mama na nikama yeye ndio anawatunza...na bado wanazaa zaa tu na kutokuwa responsible na action zao...Mimi nimemwambia mama sitaki kusikia na kama asiponishughulikia hilo mimi mwenyewe nitakwenda hata kule kijijini nikaangalie watoto yatima ambae hakuchagua kuwa hivyo...
I wish kila mtu angejifunza kuadopt mtoto mmoja hapo
Vizuri kujifunza ustaharabu wa kutoa misaada hasa kwa mayatima hata kana mtu una kuti kidogo tu, baraka zake ni nyingi sana kama mtume Mohammed (SAW) alivyosema, tuache kutegemea wazungu tu. Mzungu mwenyewe kasema 'charity begins at home' eti. Na wengine hapa mshaanza kupata mawazo ya kuomba misaada/kupiga mabomu kutokwa kwa wafadhili hawa. ACHENI HIZO.
ReplyDeleteAnon September 02, 2008 6:54 PM nakubaliana na wewe,na mimi yalinikuta nataka kuadopt mtoto naambiwa chukua wa ndugu, wakati wana baba na mama zao ..Hawa watoto wanahitaji msaada kutoka jamii nzima sio watu wachache haijalishi uko wapi nyumbani au ughaibuni anyway tutafika tu..
ReplyDelete