JK akiwa na wadau wanaopiga buku hapa khartoum. shoto ni mdau hashim fadhili ambaye ni kaimu rais wa madenti wa bongo wanaoska nondozzz sudan na kuume ni seif maulid waziri wa habari an michezo chuo kikuu cha sudan international university. hapa ni katika hoteli ya pullman. JK kaondoka leo kurejea bongo
mkuu wa wilaya ya nanihino akiwa na wadau wa sudan seif (shoto) na hashim (pili kuume) na kulia ni mdau jaffar haniu wa tbc

MSAADA TUTANI:
ReplyDeleteWadau baada ya kutembelea globu hii kitambo kuna jambo nimegundua. Ust Mithupu akipiga pix akiwa kwenye suti lazima atie mkono mfukoni tena wa kushoto acha zile za konoz hata kwa marijali wenzie na kama anabisha mwambie aweke picha zake muone....mzeee una hirizi nini???
WADAU WA SUDAN, MBONA MMECHOKA HIVYO???
ReplyDeleteMichuzi ukivaa suti nachachatika yaani tu, kama ningekua sio msichana wa miaka 17 ningekua nyumba ndogo.
ReplyDeleteI love you xxx
Shaira
Kumbe kila siku tunasikia vita Sudani, kumbe panafaa kuishi na kusoma vizuri...
ReplyDeleteHebu tueleze basi huko wanakula nini? maisha yao ni vipi...Unajua nchi nyingine kila tukisikia habari zao ni vita tu...
Wewe hapo juu unayesema wamechoka weka picha yako tukuone...
kaka michuzi, kila siku naona unaandika mkuu wa nanihi mimi siukelewi, ni mkuu wa nini sasa?
ReplyDeleteoya si umeambiwa wanapiga nondo sasa unafikiri nondo jambo jepesi lazima ikutoe mwili mcheke Jaffar alivonenepa na mkuu wa wilaya ya tegeta sababu hawapigi nondo saivi
ReplyDeleteJK suti zake bana juu zipo full sijui la lukuprotect risasi nini LOL linaharibu bana anaonekana anapiga kifua mpira LOooo
ReplyDeleteJamani wana jamii kwa nini mnapenda sana kumkandia kaka michuzi akivaa ile t.shirt yake maneno,akivaa suti ooh anapenda kuweka mkono mfukoni.Hongera sana kaka Michuzi kwa kazi nzuri unaoifanya.Big Up.Calgary.
ReplyDeleteJamaa wamechoka sana,inaelekea kuna njaa sana doh!
ReplyDeletemshkaji haniu koti halikupendezi una kibiongo.
ReplyDeletemishi
Tarehe September 08, 2008 6:08 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteWADAU WA SUDAN, MBONA MMECHOKA HIVYO???
Waache kuchoka huko hakuna mchezo wa kubeba mabox la uwe janjawed au alkaida kabisaa.
Dini tu ndio inawapeleka huko nafasi bwerereeeeeeeeee wewe kama una majina kama hayo wala usijali nenda
waacha kuchoka huko ni kusoma na kuswali sana sana hakuna kubeba ma-box na kula shwani na bia. kama huko mliko mnajidai sasa mwezi mtukufu. hawa ndo wanafunga bwana. wewe fikiri hao ndio viongozi wa umoja wa wanafunzi huko.No rushwa
ReplyDeleteebana huwa tunasemaga watu wa nchi nyingine walivyofanana lakini hatujiangalii na sisi watanzania tulivyo.Mnaona hizo shepu zilivyo sambamba.Kuanzia RAHISI mpaka hawa wavuja jasho wana shepu za kikulima-kulima bin kichovu chovu bin maisha magumu.Wabongo karibia huwa tunasimamia mguu mmoja,hakikisheni kwenye hizi picha.
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania.
DUH!! MTU ASIKUDANGANYE "MGAA GAA NA UPWA .......WALI MKAVU" JAFARI UMEKUWA HIVYO!!!!! TUMBO KAMA MKWABI? IKULU IKULU TU KAKA, SASA LAKUFANYA SI UNA WATOTO WAKO ULAYA, WAOMBE WAKUTUMIE SUTI NZURI ZA KUSAFIRI NA RAIS ILI USIVAE MCHANGANYIKO, HAUKO KWENYE OLYMPIC GAMES HAPO
ReplyDeleteMdau
We anon wa September 09, 2008 4:11 PM kwani watu wanaochanganya suti ni kwenye Olympics tu? Acha kukremisha mambo wewe, as long as amejisitiri wabongo acheni maneno. Kwani amekwambia ameshindwa kununa suti hadi awaambie wanawe? Kuweni na heshima wakati mwingine na sio kuongea tu bila kufikiri msonyoooo.
ReplyDeleteHivi baba yetu ana personal Trainer au ndio hivyo kukata matumisi serikalini?
ReplyDeletebasi hata wamnunulie a work out DVD kwa vile naona mazoezi anayoyafanya ni upper body tu. Asije akwa body builder. Nadahni yeye anafanya mazoezi kwa kukeep good health. So mazoezi ya mwili mzima ni vizuri ili awe na proportion body.
Kila siku naona kifua kinazidi kujaa tu.....Mweeeeee isije ikawa ni home gym tu