JK akiwa na wadau wanaopiga buku hapa khartoum. shoto ni mdau hashim fadhili ambaye ni kaimu rais wa madenti wa bongo wanaoska nondozzz sudan na kuume ni seif maulid waziri wa habari an michezo chuo kikuu cha sudan international university. hapa ni katika hoteli ya pullman. JK kaondoka leo kurejea bongo
mkuu wa wilaya ya nanihino akiwa na wadau wa sudan seif (shoto) na hashim (pili kuume) na kulia ni mdau jaffar haniu wa tbc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. MSAADA TUTANI:
    Wadau baada ya kutembelea globu hii kitambo kuna jambo nimegundua. Ust Mithupu akipiga pix akiwa kwenye suti lazima atie mkono mfukoni tena wa kushoto acha zile za konoz hata kwa marijali wenzie na kama anabisha mwambie aweke picha zake muone....mzeee una hirizi nini???

    ReplyDelete
  2. WADAU WA SUDAN, MBONA MMECHOKA HIVYO???

    ReplyDelete
  3. Michuzi ukivaa suti nachachatika yaani tu, kama ningekua sio msichana wa miaka 17 ningekua nyumba ndogo.

    I love you xxx

    Shaira

    ReplyDelete
  4. Kumbe kila siku tunasikia vita Sudani, kumbe panafaa kuishi na kusoma vizuri...

    Hebu tueleze basi huko wanakula nini? maisha yao ni vipi...Unajua nchi nyingine kila tukisikia habari zao ni vita tu...

    Wewe hapo juu unayesema wamechoka weka picha yako tukuone...

    ReplyDelete
  5. kaka michuzi, kila siku naona unaandika mkuu wa nanihi mimi siukelewi, ni mkuu wa nini sasa?

    ReplyDelete
  6. oya si umeambiwa wanapiga nondo sasa unafikiri nondo jambo jepesi lazima ikutoe mwili mcheke Jaffar alivonenepa na mkuu wa wilaya ya tegeta sababu hawapigi nondo saivi

    ReplyDelete
  7. JK suti zake bana juu zipo full sijui la lukuprotect risasi nini LOL linaharibu bana anaonekana anapiga kifua mpira LOooo

    ReplyDelete
  8. Jamani wana jamii kwa nini mnapenda sana kumkandia kaka michuzi akivaa ile t.shirt yake maneno,akivaa suti ooh anapenda kuweka mkono mfukoni.Hongera sana kaka Michuzi kwa kazi nzuri unaoifanya.Big Up.Calgary.

    ReplyDelete
  9. Jamaa wamechoka sana,inaelekea kuna njaa sana doh!

    ReplyDelete
  10. mshkaji haniu koti halikupendezi una kibiongo.

    mishi

    ReplyDelete
  11. Tarehe September 08, 2008 6:08 PM, Mtoa Maoni: Anonymous

    WADAU WA SUDAN, MBONA MMECHOKA HIVYO???

    Waache kuchoka huko hakuna mchezo wa kubeba mabox la uwe janjawed au alkaida kabisaa.
    Dini tu ndio inawapeleka huko nafasi bwerereeeeeeeeee wewe kama una majina kama hayo wala usijali nenda

    ReplyDelete
  12. waacha kuchoka huko ni kusoma na kuswali sana sana hakuna kubeba ma-box na kula shwani na bia. kama huko mliko mnajidai sasa mwezi mtukufu. hawa ndo wanafunga bwana. wewe fikiri hao ndio viongozi wa umoja wa wanafunzi huko.No rushwa

    ReplyDelete
  13. ebana huwa tunasemaga watu wa nchi nyingine walivyofanana lakini hatujiangalii na sisi watanzania tulivyo.Mnaona hizo shepu zilivyo sambamba.Kuanzia RAHISI mpaka hawa wavuja jasho wana shepu za kikulima-kulima bin kichovu chovu bin maisha magumu.Wabongo karibia huwa tunasimamia mguu mmoja,hakikisheni kwenye hizi picha.
    Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  14. DUH!! MTU ASIKUDANGANYE "MGAA GAA NA UPWA .......WALI MKAVU" JAFARI UMEKUWA HIVYO!!!!! TUMBO KAMA MKWABI? IKULU IKULU TU KAKA, SASA LAKUFANYA SI UNA WATOTO WAKO ULAYA, WAOMBE WAKUTUMIE SUTI NZURI ZA KUSAFIRI NA RAIS ILI USIVAE MCHANGANYIKO, HAUKO KWENYE OLYMPIC GAMES HAPO
    Mdau

    ReplyDelete
  15. We anon wa September 09, 2008 4:11 PM kwani watu wanaochanganya suti ni kwenye Olympics tu? Acha kukremisha mambo wewe, as long as amejisitiri wabongo acheni maneno. Kwani amekwambia ameshindwa kununa suti hadi awaambie wanawe? Kuweni na heshima wakati mwingine na sio kuongea tu bila kufikiri msonyoooo.

    ReplyDelete
  16. Hivi baba yetu ana personal Trainer au ndio hivyo kukata matumisi serikalini?

    basi hata wamnunulie a work out DVD kwa vile naona mazoezi anayoyafanya ni upper body tu. Asije akwa body builder. Nadahni yeye anafanya mazoezi kwa kukeep good health. So mazoezi ya mwili mzima ni vizuri ili awe na proportion body.

    Kila siku naona kifua kinazidi kujaa tu.....Mweeeeee isije ikawa ni home gym tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...