fritz fuchs toka uswisi akituia msumeno kupigia muziki usiku huu hoteli ya moevenpick katika dhifa ya kusherehekea siku ya taifa hilo
mama maja rymann toka zurich akitumia kengele za ng'ombe kupiga muziki usiku huu dar
mkuu wa wilaya ya nanihii na balozi wa zain akipuliza alphor (zumari) la kiswisi usiku huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Balozi, kazi zina wenyewe hizo, utajikamua pumzi hatimaye ushikwe na nanihii bure.

    Halafu nauliza, eti mtu akiwa anapuliza zumari ukapita mbele yake na ndimu anashindwa kabisa kupuliza?!! Naomba jibu nduguzanguni.


    Q

    ReplyDelete
  2. Angalia usijambe balozi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...