fritz fuchs toka uswisi akituia msumeno kupigia muziki usiku huu hoteli ya moevenpick katika dhifa ya kusherehekea siku ya taifa hilo
mama maja rymann toka zurich akitumia kengele za ng'ombe kupiga muziki usiku huu dar
mkuu wa wilaya ya nanihii na balozi wa zain akipuliza alphor (zumari) la kiswisi usiku huu

Balozi, kazi zina wenyewe hizo, utajikamua pumzi hatimaye ushikwe na nanihii bure.
ReplyDeleteHalafu nauliza, eti mtu akiwa anapuliza zumari ukapita mbele yake na ndimu anashindwa kabisa kupuliza?!! Naomba jibu nduguzanguni.
Q
Angalia usijambe balozi
ReplyDelete