JUMUIYA YA WATANZANIA JAPANI WAFANYA BBQ ILI KUHAMASISHA WATANZANIA WANAOISHI JAPANI KUJUINGA NA JUMUIYA
Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani (TANZANITE SOCIETY), Jana Jioni walifanya BBQ ya nguvu katika kampeni yao ya kuwahamasisha watanzania wanaoishi nchini Japani kujiandikisha na Jumuiya.
Shughuli hiyo ya “nyama choma” iliyofanyika pembezoni mwa mto Sagami, huko mkoani KANAGAWA ilihudhuriwa na viongozi wote wa juu wa Jumuiya. Muziki wa nguvu wa DJ Zee ulisindikiza shughuli hiyo.
Watanzania kadhaa waliohudhuria, ambao sio Wanajumuiya waliahidi kujiunga na Jumuiya haraka iwezekanavyo.
Uongozi wa Jumuiya unapenda kuchukuwa fursa hii kuwaomba watanzania wote wanaoishi nchini Japani ambao bado hawajajiunga na Jumuiya kufanya hivyo.

Poa Tumeshikia Kiunyonge weka matokeo ya Chadema kuishinda CCM tarime
ReplyDeletebei ya gari hiyo ikiwa mpya kweli mtanzania wa kawaida anaweza kupata kwa kipata chake tu au ndio ufisadi wenyewe huo?basi yetu macho wewe mithupu na mafisadi wako hao
ReplyDeleteBraza Michu ingawa wote tunajua wewe ni CCM damu na umeonjoy sana hela za mafisadi BUT pleeeeeeeeeeease tuletee hata mabreaking news ya Tarime kuwa CHADEMA wameshinda basi
ReplyDeleteCHADEMA oyeee
haha usichukie mtani
Muuza gari naomba uweke bei mambo ya makubaliano ndio nini? Tupe kianzio basi
ReplyDeleteWadada wanne ndio wanaitwa wakina dada walikua kibao?
ReplyDeleteWATU HATA WAKIWA WANNE, TUTAAMBIWA "MTU KIBAO". JIKO LENYEWE CHA MTOTO, MUZIKI USISEME. MI NILIDHANI HUKO KUNAKOTAMBA KWA ELECTRONICS TUNGEONA MUZIKI WA NGUVU? MUZIKI KAMA TUNAPIGISHA DISCO UWANJA WA FISI...LETS GO WITH TIME BOB
ReplyDeleteNi wanga tu pekee ambao wanakutana huku wamesimama namna hii juu ya mawe. Kikao muhimu mngekuja hata viti vya mkunjo? Unakitoa kwenye gari kunjua na ukimaliza kikao unakikunja unakirudisha. Au ndio kujifanya mko fit kama wajepu?
ReplyDeletedah noma kijiko chenyewe ovyo watu wenyewe kweli 4 kwa 4 au walikuwa wanafanya ....bbq noma japan kweli mmechoka jaman?
ReplyDeleteMan you aint no Gangster so puts yours hands down and act like respectable African
ReplyDeleteni noma!
ReplyDeleteis this for real? someone stop this joke please.
hawa ni washikaji tu walikuwa wanajichomea mishikaki yao na sio jumiya nzima!
na kuna majiko murua ya BBQ ( Charbroil) yako kwenye sale maana summer imekwisha hapo Machida Costco.......for anyone who wants a real BBQ thing!
MIMI MDAU NIKO JAPAN. NAOMBA CONTACT ZA MWENYEKITI AU MWANACHAMA YEYOTE TAFADHALI.
ReplyDeleteTupac & Natedog the last pic
ReplyDelete