BAADA YA MAKAUZI YA READING BONGODJS ENTS
INAENDELEA NA MAKAMUZI NAMWANA FA aka BINAMU (kati) AKISEMA BADO YUPO YUPO BADO MITAA YA UK.

IJUMAA HII 10/10/08 NDANI YA CLUB AFRIQUE

LONDON E16 4HQ
ENRTY
£ 10 BEFORE LATE

FOR MORE INFO CONTACT BONGODJS
07786065519

THANKS ALL FOR THE SUPPORT
MAKAMUZI!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa ansema bado yupoyupo akimaanisha haoi hivi karibuni au hana mpango kabisa., Thats ok,ningependa kujua umri wake. Sura yake inaonekana jamaa ni mkubwa sana amekomaa kinona. Mzee Mithupu ndio nimeamka natoka kwenye boksi, ktk kusafisha kinywa. wadau wengine wa maboksini wameamka??

    ReplyDelete
  2. It says £10 before late. what time is late?

    ReplyDelete
  3. Huyo jamaa wa kushoto kwa mwana FA piga ua, galagaza ni mchaga. Yaani ni wale machekibobu wa kichaga wa zamaaani enzi za "Bony M".

    ReplyDelete
  4. Sijui umetumia kigezo gani kusema mchaga naona ni chuki tu binafsi na hilo kabila. Au ni kwasababu ya kofia Fubu Athletics aliyovaa. Mimi ningefikiria labda he is from one of the tribes in Arusha, Mara au hata Kenya.
    Pia kwani machekibob wa miaka hii ni lazima wavae hereni, tattoos na kusuka nywele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...