Nahodha wa timu ya Kituo cha Television cha Channel 10 John Makunde akiangalia kikombe cha ushindi baada timu yao kuinyuka timu ya Moevenpick Hotel kwa mabao 2-0 katika bonanza la kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere lililodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar jana
Baadhi ya washabiki na wafanyakazi wa kituo cha Television cha Channel Ten wakishangilia baada ya timu yao kuifunga timu ya Moevenpick Hotel kwa magoli 2-0 katika Bonanza lililodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam jana
Mchezaji wa timu ya Channel Ten, Moloto Phineas (kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa IPP, Seba........ katika bonanza la kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere lililodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam juzi. Channel Ten waliibuka washindi kwa mabao 2-0.
midfida wa ipp ssebo (na mpira) akitawala uwanja
Kikundi cha promosheni cha kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, kikifanya mambo yake katika bonanza la kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na kudhaminiwa na Tigo kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...