Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dk. Batila Burian akizungumza na Ujumbe toka Finland. Kulia ni Mkrugenzi Mkuu Msaidizi Bi Sirpa Maenpaa,Mkuu wa Kitengo cha Mashariki na Maharibi Afirika Bi Helena Airaksinen na Balozi Finland chini Tanzania Bw Juhani Toivonen walipomtembelea leo Ofisini Kwake Luthuli Mjini Dae es Salaam. Picha na Ali Meja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tota kai! Kwa ujanja wa mfini wanamsikiliza ili ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe bila yeye kujua masikini. Kila la kheri Dr, sijui walikuuliza nini na wewe umejibu nini.

    ReplyDelete
  2. wacha ufala we anony wa juu---sio kila picha utoe maoni saa nyingine funga bakuli hilo

    ReplyDelete
  3. Ungelikuwa wewe unayejiita hakaniemi ndiyo yangekukuta hayo maana umejielezea jinsi ulivyo mbu mbu mzungu wa reli tena ungebaki unawachekea tu lakusema huna. Lakini mwenzio huyo ni PhD holder tena sio zile za mtandaoni, yuko makini na anachokifanya sio wewe mwenzangu na mie mwayangumwayangu mradi wajua kudonoa kwenye computer basi!

    ReplyDelete
  4. POLE SANA Hakaniemi October 08, 2008 1:54 PM

    Nadhani nyie ndo wale mnaotoa ufafanuzi wa simulizi kwa kuangalia nganda la kitabu.

    Mimi sio MwanaSiasa lakini Mhe. Batilda kwa taarifa yako yupo fit mno hapo kichwani tena PhD yake sio ya vichochoroni nakuomba ufungue website ya Bunge baada ya hapo kwenye picha za wabunge tafuta hadi upate jina lake double click... USOME MAMBO YAKE

    Big Up dada, Your Super!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...